Ambae yupo tayari kuolewa

Ambae yupo tayari kuolewa

Prezda

Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
61
Reaction score
9
Rafiki yangu alinambia jana kuwa anataka kuoa nimsaidie kutafuta mke nikaona ni vyema nitoe taarifa hapa jukwaani ili kama kuna dada yupo tayari kuolewa ani PM aweke namba zake ili wakubaliane.
 
Rafiki yako wewe hapo...........??........
 
Rafiki yangu alinambia jana kuwa anataka kuoa nimsaidie kutafuta mke nikaona ni vyema nitoe taarifa hapa jukwaani ili kama kuna dada yupo tayari kuolewa ani PM aweke namba zake ili wakubaliane.

kuolewa siku hizi imekuwa dili eehh.... akaunti yake ya crdb inasoma digits ngapi?
 
ungemwaga mambo yote hadharani mabinti tuone kama anatufaa!
 
To a CV take na amtakaye,wadada wajinafasi ktk maamuz ya kukubal au kukataa.
 
Kanisani ungepata mapema. Au kwanini asitumie wazee
 
mbona watu siku hizi wanapenda kutumia nafsi ya tatu umoja..??
 
kuolewa siku hizi imekuwa dili eehh.... akaunti yake ya crdb inasoma digits ngapi?

Acha zarau za kiboya mwenyewe maisha magumu toka utotoni kama yangu alafu unaikiza account ina sh. Ngapi? Pita kule acha watu watafute wenzi.
 
ataniwowa au atanchezeya????
mwambie aje kwangu tuanze maisha
 
Kwani yeye hajui kutongoza?

Au hajui kutafuta yule amtakae?
 
Back
Top Bottom