Ambacho CCM na watu wao hawajui

Kule milima ya Usambara nguo kama hiyo inaitwa SHAKAZA mzee Lodi lofa aka Mkapa anajua sana jina la nguo hizo akikaa na wazee (kama anakaa) wenzie pale Mkuzi. Hakuna anayependa kuvaa "shakaza" ambayo ni ccm kwa sasa.
Au siyo wazee wa kazi zumbemkuu na Elli ?
 
Last edited by a moderator:
unaonaje na amani tukaibadilisha mana tumekua na amani muda mrefu mpaka majirani wenzetu wanatushangaa!

Kwa hiyo Ilani yenu ina neno moja tu amani?
 
Mabadiliko yepi mnaongelea? Ya kumweka mlutheri madarakani? Funguka.

Hebu tusaidie wewe kibaraka wa Vatican na Mlutheri bora yupi?
Mwaka mmepatikana ukiinama nchale ukiinuka nchale tu. Huu ndio mfumo kristo rasmi.
 
Mabadiliko yepi mnaongelea? Ya kumweka mlutheri madarakani? Funguka.

Awe Mlutheli, awe mpagani awe mpentecoste, awe msabato. awe mkatoliki, awe mwislisamu haijalishi la msingi ni CCM out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…