Amazon wamelaumiwa kwa kuuza vidonge vya bikra feki

Mwanaume ni bidhaa adimu sana. Hiyo yote wanafanya kwa kutufurahisha sisi. Watu mpaka wanaongeza makalio unafikiri mchezo
Kama wanaume wangekuwa adimu kusingekuwa na kuuana mara magunia ya mkaa, ingekuwa pyeee unasepa unaibuka na mwingine
 
Dah! Wanaume tunakazi yani kiwanda kimekaa kuchakata hiyo midawa wakafungasha mpk kufika amazon watu wakanunua hii combination yote ni kumlaghai mwanaume kuwa mwanamke huyu ni bikra dah!! Hata dunia inatusaliti tena kuna mengine na mindevu yao imeshiriki ktk huu ukanjanja!! Wanawake tumewakosea Nini..?
 
Kama wanaongeza makalio, kwa nini wasifanye sehemu hiyo kuwa kama mpya?
 
Back
Top Bottom