Hebu fikiria kama Jumia, Amazon na Kikuu wasingeweka bei ya vitu vyao halafu ukiwaomba bei waseme "tutumie email" usumbufu gani huu?? Sijui wafanyabiashara waTz wanakwama wapi aisee... wiki 2 sasa nafuatilia kitu bei inbox ambayo anaifungua baada ya siku 3[emoji119]