Adobe After Effect
Senior Member
- Dec 31, 2012
- 144
- 75
Habari wakuu wa jukwaa,leo tena narejea kwenu. Kama mnakumbuka,mara ya mwisho niliwaletea kinetic typography ya wimbo maarufu wa Diamond Platnumz.mlitoa maoni yenu na niliyapokea kwa mikono miwili.
safari hii nimekuja na wimbo maarufu wa Jux ufahamikao kama "Sisikii".nimetumia mtindo ule ule wa kinetic typography ku-convey lyrics words into typography.
kwa sababu mbalimbali za kiufundi,ilinichukua kama mwezi mmoja kukamilisha project hii.
nawakaribisha kuitazama na kutoa maoni yenu ya kiufundi ili tusadiane kujenga sanaa yetu.
safari ilianzia hapa.
na hatimaye ikaishia hapa.karibuni.

Last edited by a moderator: