Amazing in Ruaha Park


Katoto ka swala kakiwa kametulia ili kapewe tiba na ndege. Ndege husaidia kutoa wadudu kama kupe kwa wanyama na kupe ni CHAKULA CHA NDEGE
 

Mungu kaumba duniani na maajabu yake. Kila kiumbe kina namna yake ya kujilinda na kuishi.

Anaitwa Hondohondol....hapa anahangaika namna ya kumla kobe.

Ataweza?
 

Katoto ka swala kakiwa kametulia ili kapewe tiba na ndege. Ndege husaidia kutoa wadudu kama kupe kwa wanyama na kupe ni CHAKULA CHA NDEGE
Kweli Mungu ni mkuu tazama mnyama asiye na mikono wala uwezo wa kuomba msaada atolewe papasi sikioni kapewa msaidizi na rafiki wa kumtolea kupe.
 
Amavubi kuanzia leo nakuita Chief Park Warden au Mhifadhi Mkuu! hongera sana na picha tamu sana!
 
ivi wakuu mlishawai kufikiria Mungu alivyo fundi!!! yani kuna wanyama wengine ukiwaangalia lazima ujiulize maswali kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…