Amatus Liyumba: Balaa!

Do unto others as you would unto you. Wema hulipwa na wema na uwovu hulipwa na uwovu. Sijui utahisije itakapo fika zam yako kuwemo kwenye scandal mbaya kuliko hii. Jitayarishe.
 
Nje ya mahakama, kelele za vifijo na vigelegele vilirindima kutoka kwa ndugu wa Liyumba, huku ndugu wengine wakitoa vilio vya furaha, kwa kumkumbatia mtuhumiwa huyo na mwenyewe alisikika akisema kuwa ‘twendeni nyumbani, twendeni nyumbani?!!

Masikini hawa watanzania. Kesho watalalama na matatizo ya UFISADI...

omarilyas
 
Hii List imesambaa mjini na watu wanalijadili. ila kusema kweli hapo wapo ambao wameshakubali na wamekiri kuwa ni HIV positive.
What I find repulsive ni hii ya kubandika majina yao... after all it is a private affair, on the other hand, huyu jamaa Liyumba ni mwuaji - mass murderer!
 
liyumba si muuaji!hivi kwani alikuwa anawakamata na kuwabaka kwa nguvu!
si yalikuwa ni makubaliano jamani!hapendwi mtu ila pochi!
 
Hivi mtu akitaka kuchukua legal action kwa kuchafuliwa jina lake katika mtandao huu, anamshitaki nani kama mshitakiwa mkuu??
 
Hivi mtu akitaka kuchukua legal action kwa kuchafuliwa jina lake katika mtandao huu, anamshitaki nani kama mshitakiwa mkuu??

Vipi, mkuu we ni mdau? Pole sana mkuu, mi ushauri wangu ni kukaa kimya tu, utakapoanza kuchukua legal action basi ndo unaipa nguvu hoja.... hapa ni annyonymus posters na si katika forum hii tu utakuta hii list katika blogs zote za kiswahili. So, that is what rumours are ... pole zangu mkuu!
 
Hivi mtu akitaka kuchukua legal action kwa kuchafuliwa jina lake katika mtandao huu, anamshitaki nani kama mshitakiwa mkuu??
kwenye orodha kuna somo wa hili jina tk!any way kama sio kweli sio kweli tu!mimi naamini kuna majina mengine wamepakaziwa!haina haja ya kuchukua legal action!mambo ya mtandao watu wnyewe hapa ni ma invisible!
 
Hii imekaaje,mbona title haina uhusiano na subject?Si title ingekuwa shukrani?
Huyu naye anachanganya mambo!Jamani naombeni mnifahamishe,kwani huyu Amatus bado yuko kazini kweli?!Au kudondoka kazini inamaana nyingine tofauti na ajali?
Ningependa kufahamu kutoka kwenu ndugu wapendwa wa JF.
 
Alodondoka wakati govana Benno Ndulu alipoingia madarakani na wakati huo ulikuwa ni mchakato wake wa kufukuzwa kazi ulikua unamalizika. Siku chache kabla ya kupewa barua ya kwa heri alidondoka. Jamani mawazo hayo!!! Kukosa mishemishe tena. Nakumbuka alilazwa Aghakan kwa mda.
 
liyumba si muuaji!hivi kwani alikuwa anawakamata na kuwabaka kwa nguvu!
si yalikuwa ni makubaliano jamani!hapendwi mtu ila pochi!

Jamani uuaji si lazima ushike bunduki au kisu kutembea na kufanya mapenzi na watu tofauti bila kuwakinga hata kama unawalipa ni UUAJI. Angekuwa anawaambia wazi kuwa mimi ni HIV positive then ampe uamuzi msichana wa kuamua kusuka au kunyoa tungewalaumu hao wanaotembea naye lakini suala la yeye kutumia pesa zake kusambaza virusi (kama ni kweli) halina mjadala na si ajabu alishajiwekea malengo kwa maana ya idadi ya watu ambao ataondoka nao pindi atakapokufa sasa mtu kama huyu ana tofauti gani na serial killer amayewaua wanawake kwa vile ameumizwa na mmoja?...
 
Nice to join the lot in the forum. I must have missed alot. I look forward to a lot of things coming.
 
Mishili karibu sana.... usijali njoo taratibu kama mwendo wa ki starlet mwishowe tutakua pamoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom