Kang Windows Live movie maker naona kwenye net wanasema huwezi kufanya editing.Hata kama ni ya ameteur basi hii ni ya wale ameteur ambao ninawazidi kiasi. Kama una uozefu na tool nzuri nitajie tu gharama nitachukua mkopo hata benki. mbele ya ujuzi sina mchezo teh teh teh teh .Windows Live Movie maker ndo bora kwa amateur, hizo zengine ni pro tools na bei zake nazo ni Pro. Zidhani kama utakosa feature unayohitaji kwenye Movie Maker.
Aksante sana Kiongozi Hii Nitajaribu kuitafuta na kutumia trial ila adobe maana hata photoshop ina madude mengi mpak leo inanisumbua.Tumia Adobe Premiere.
Final Cut Pro is NLE (non-linear editing) at it's best. Final Cut allows you to edit any video format from consumer DV to high-end and professional HD (high definition) digital video. Editing and effects are applied in real-time as both CPU and GPU is used for processing - allowing you view virtually the final result as you edit. Also audio editing is achieved with the highest quality.
The final product can be exported either to DVD, back to tape or internet video such as h.264. All in all Final Cut Pro is a powerful product for the professional user or the video enthusiast.
Mie sina uzoefu sana binafsi napenda kufanya mazoezi ktk sony vegas. Kama vipi check nayo kama ipo poa.
Kang Windows Live movie maker naona kwenye net wanasema huwezi kufanya editing.Hata kama ni ya ameteur basi hii ni ya wale ameteur ambao ninawazidi kiasi. Kama una uozefu na tool nzuri nitajie tu gharama nitachukua mkopo hata benki. mbele ya ujuzi sina mchezo teh teh teh teh .
Aksante sana Kiongozi Hii Nitajaribu kuitafuta na kutumia trial ila adobe maana hata photoshop ina madude mengi mpak leo inanisumbua.
Kama ni Amateur AfterEffects hatoiweza,bora aanze na Adobe Premier.
After Effects ni soo,so pro na ni maalum kwa effects,ukitaka kuedit na kumix videos kirahi na kwa ufanisi,Adobe Premier ndio jibu!Mimi ni mtumiaji sana wa hizi software ndio maana nakushauri hivi.
Kama ni Amateur AfterEffects hatoiweza,bora aanze na Adobe Premier.
After Effects ni soo,so pro na ni maalum kwa effects,ukitaka kuedit na kumix videos kirahi na kwa ufanisi,Adobe Premier ndio jibu!Mimi ni mtumiaji sana wa hizi software ndio maana nakushauri hivi.
kweli kabisa itasadia sana lakini kama una bandwidth za kumwaga unaweza pakua hii Lynda.comgivenality said:Utaweza kutoa darasa kidogo?