Mandown
JF-Expert Member
- Apr 8, 2012
- 1,665
- 507
ISIS nao wana chombo chao cha habari kusmambazia vitisho vyao na propaganda zao huku vyombo vya habari vikubwa (main stream medias ) wakicopy taarifa zao za kigadi kama vile kudai uhusika wa wa ugaidi (claim responsibility) au kurusha clips za utekaji au mauaji na kadhalika.
- Mtandao wa wikipedia umenukuu gazeti ya Newyork Times kwamba Amaq iliundwa na mwandishi wa habari wa Syria, Baraa Kadek, ambaye alijiunga na IS mwishoni mwa 2013, na wengine saba waliokuwa wanafanya kazi kwa Halab News Network
- Mtandao wa thequint.com umeripoti kuwa ISIS wana WhatsApp yao ambayo ina Secured charting ..
- Huko marekani shirika la CBC news lilijinasibu kwamba "The cyber divisions of law enforcement agencies ya Marekani na nchi nyingine saba zilizindua operesheni kubwa May mwaka huu ya kuharibu uwezo wa kundi la ISIS wa kurusha matangazo yao ya kigaidi katina shirika la Amaq News Agency. Hapo jana Mtandao wa mrengo wa kimagharibi wa Ramani za mizozo ulimwenguni (syria.liveuamap.com) uliripoti kwamba Shirika la Habari la ISIS la Amaq linaripoti kuwa askari watatu wa Amerika 'walijeruhiwa katika shambulio la IED huko Nurr St huko Raqqa Syria.
- Matukio mengi ya kigaidi ya nayo tokea ulimwenguni yanatangazwa na chombo hiki.
- Imerepotiwa kuwa Amaq Amaq wanaweka Propaganda zao kwenye Mitandao ya kijamii na tovuti ya yao wenyewe. Tovuti inapaswa kuhamisha URL, kwa sababu mara nyingi huchukuliwa (ina "blockiwa")
- Mitandao ya kimagharibi imekua mara kwa mara inatangaza ku "hack" website ya Amaq na kutuma virusi vilivyo angamiza mazima mtandao wa Internet wa ISIS kuanzia shirika la Amaq na mengine ya kijamii lakini hili halina uhalisia zaidi ya kujinasibu tu. Cha kujiuliza zadi ni je ni kweli mataifa makubwa ulimwenguni yanashindwa ku dhibiti machapisho ya mitandaoni ya ya kundi hili la Kigaidi?
ii. April 2017 Gazeti la independent la UK lili repoti kuwa Amaq imeshambuliwa na Virusi na kutuma "onyo" kwa mashabiki wake juu ya kufungua mitandao yoa
ISIS Has Its Own WhatsApp-Like Secure Chatting App on Android - The Quint
NPR Choice page
The hackers beating Isis' propaganda machine