Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,953
- 3,459
Kutokana na hali ya siasa inayoendelea nchini mambo mengi yamezidi kukaa dilema yaan mguu pande baada ya mkuu wa nchi kutofautiana na watangulizi wake moja kwa moja na kamua kuafata njia yake mwenyewe ambapo kila siku amekuwa akielekea shimoni
Tetesi zinaonesha watu wa karibu wakiwepo washauri wameamua kugeukia upande wa pil kutafuta unafuu wa maisha hasa baada ya serikali kuonesha kupoteza dira moja kwa moja
Hali ya hofua imeanza na imedhihiria baada ya kutangaza kuamia dodoma ukiwa n mkakati wa kujilinda zaidi kuliko kiutendaji kama inavodaiwa
Wananchi wameonesha kuchokwa haraka na hivo tathimin inaonesha kua endapo itatokea hali yyt wako tayar kuunga mkono
Hofu kubwa imezuka baada ya lowasa kusema kuwa ana nguvu serikali imebaki kujiuliza n nguvu gan hiyo aliyonayo lowasa. Sasa wamebaki kumtafuta mchawi kwanzia kwenye vyombo vya usalama watendaji ngazi za juu sa serikali
Tabaka la watu 21 tuu ndio liko pamoja nae sasa n miez 8 tuu. Wakuu /wastaafu wamemkana ajiongoze mpango wa kumleta aliyekuwa adui yao umeanza kusukwa ki maridad
Ule mkakati wa UKUTA haujaja kwa bahati mbaya uku nyuma ya pazia watu maridadi wakisimamia uwezeshwaji nchi nzima
Swali je ataweza kumzuia lowasa je akiamua kutunishiana misuli nani ataumia?
Kisa kina tafutwa
Sharti awe mpole