Jiulize ww mbona hujatekwa?Wewe hujielewi, Acha kututisha na nyimbo za amani amani, watu kibao wanatekwa na kuuuwawa, hapo kuna amani? Kuna amani ipi unayozungumzia
Kwa hiyo hao wanaotekwa tusiulizeJiulize ww mbona hujatekwa?
Jibu swali basi nduguKwa hiyo hao wanaotekwa tusiulize
Tanganyika HAKUNA KITU KINACHOITWA AMANI.Wasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye dini.
Kutupiana lawama ndio imekua msingi mkuu.Hawa wanasema wameonewa na wale wanasema sheria haifuatwi.
Siku amani ya nchi yetu itakapozimika tukawa kama Congo kwa tamaa za watu wachache kutaka mali na madaraka kwa nguvu hakika tutaikumbuka hii amani.
CCM ndiyo wataikumbuka. Maana hawataweza kututukana tena kwa amaniWasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye dini.
Kutupiana lawama ndio imekua msingi mkuu.Hawa wanasema wameonewa na wale wanasema sheria haifuatwi.
Siku amani ya nchi yetu itakapozimika tukawa kama Congo kwa tamaa za watu wachache kutaka mali na madaraka kwa nguvu hakika tutaikumbuka hii amani.
Zipo namna nzuri za kutatua changamoto lakini linalofanyika kwa sasa ni kutukanana mitandaoni,kudhalilishana baina ya viongozi na viongozi na wananchi kwa viongoziKwa hiyo hao
Ni haki kuuliza,ila hii Vita ya maneno kati ya Kenya na Tanzania unaiona ni nzuri?Jibu swali basi ndugu
Kwani alieanza choko choko ya maneno ni nani? Wakenya waendelee kukaza maana sisi tumeshindwaZipo namna nzuri za kutatua changamoto lakini linalofanyika kwa sasa ni kutukanana mitandaoni,kudhalilishana baina ya viongozi na viongozi na wananchi kwa viongozi
Ni haki kuuliza,ila hii Vita ya maneno kati ya Kenya na Tanzania unaiona ni nzuri?
Mkuu changamoto zipo lakini sidhani kwa yanayoendelea kwa sasa ndivyo inavyopaswa kua.Mimi sina upendeleo wa chama au dini. Msimamo na wimbo wangu ni amaniCCM wakiona hii mada yako watafurahi sana mana nyumbu kama nyie ndo mnahitajika huko.
Tofautisha amani na uoga.
Wakulaumiwa ni CCM Tu. Kwa mfano, unawezaje kuifutia ruzuku CHADEMA kwa allegations za kitoto namna ile?? Tuna create tension isiyo na maana kisa kulinda Watu wachache tuWasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye dini.
Kutupiana lawama ndio imekua msingi mkuu.Hawa wanasema wameonewa na wale wanasema sheria haifuatwi.
Siku amani ya nchi yetu itakapozimika tukawa kama Congo kwa tamaa za watu wachache kutaka mali na madaraka kwa nguvu hakika tutaikumbuka hii amani.
Kwa hiyo wanavyowachora viongozi na picha za kudhalilisha viongozi ni sahihi hata kama wamekosea?
We unaona kuna kudhalilishana tu?Huu utulivu tusiopeteze ndugu.Changamoto zitatuliwe kwa njia nzuri na si kudhalilishana na kupakana matope