Amani kitu cha muhimu sana

Amani kitu cha muhimu sana

kid key

Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
28
Reaction score
10
Unatoka nyumbani mida ya saa 12 kuwahi kwenye pirikapirika za hapa na pale kutafuta chochote kitu kwa ajili ya familia uliyoiacha nyumbani.

Ghafla njiani gari uliyopanda inakanyaga bomu lililotengwa na kikundi cha kigaidi fulani nchini kinachopingana na serikali na kuua watu wasio hatia. Embu jaribu kufikia tukio kama hilo.

AMANI KITU MUHIMU jamani, Mahali penye mitafaruko kama Afghanistan hata kama Uchumi upo juu kiasi gani sio sehemu salama za maisha
 

Attachments

Hapa sijala kuanzia asubuhi mpaka mida hii navyokwambia,,
lkn kwa sababu amani ipo ntajipanga na ntakula tu,,hamna noma,amani kwanza,Jah Bless Africa
 
Kabla ya kuchangia Mh.spika nifahamishwe tofuti ya amani na utulivu pia ulinzi na usalama.
Alafu sijajua kusudio la mada yako..naomba usalama na utulivu wakati unajibu.
 
Back
Top Bottom