Amani inapotoweka nani anakua salama

Amani inapotoweka nani anakua salama

MWANAIDEA

Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
23
Reaction score
1
Mara zote amani inapotoweka yafuatayo hujitokeza
  1. kuvunjwa kwa haki za binadamu
  2. kupoteza mali
  3. uharibifu wa miundombinu
  4. machungu
  5. visasi
  6. hila
  7. uzalishaji kusimama au kushuka
  8. uharibifu wa mazingira
 
9. Wasomi kukimbia Nchi
10. Mfumo wa Elimu kusambaratika
11. Wawekezaji kukimbia
12. Uchumi kuporomoka
 
Mara zote amani inapotoweka yafuatayo hujitokeza
  1. kuvunjwa kwa haki za binadamu
  2. kupoteza mali
  3. uharibifu wa miundombinu
  4. machungu
  5. visasi
  6. hila
  7. uzalishaji kusimama au kushuka
  8. uharibifu wa mazingira

Amani ikitoweka watu wanapumzika kwa amani i.e. they Rest In Peace (they R.I.P)
 
Ni vyema kutoweka ili ku-experience upande wa pili na baadaye kushika adabu!
 
Back
Top Bottom