Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Tanzania Bara, Amani Golugwa ameweka sawa kuhusiana na ukimya mzito wa mwenyekiti mstaafu wa chama chao Freeman Mbowe.
Bado analamba asaliKaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Tanzania Bara, Amani Golugwa ameweka sawa kuhusiana na ukimya mzito wa mwenyekiti mstaafu wa chama chao Freeman Mbowe.