Amani baada ya uchaguzi

Amani baada ya uchaguzi

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
259
Jana nilipanda daladala wakati narejea nyumbani, kwa kawaida penye wengi hapakosi mada ambayo itawagusa abiria wengine. ya jana ilikuwa juu ya mama mmoja alivyokuwa anelezea maandalizi ya matumizi muhimu nyumbani kwake kwani hana imani kuwa baada ya uchaguzi patakuwa salama.

Wana jamvi naileta hii kwenu, kama mngekuwepo mngechangiaje mada ya mama huyu aliyepata mashaka. Jitokezeni kwa wingi kupiga kura, nawatakia wote kila la kheri Mungu ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom