Aman itawale....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aman itawale....!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by suley, Sep 21, 2010.

 1. s

  suley Member

  #1
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo ni siku ya amani duniani katika kuazimisha siku hii.,napenda wana JF waenzi japo kwa muda wa siku moja( yaani leo hii au 31 november ) kwa kudumisha amani ambayo misingi yake ilishafanywa imara kutoka katika kauli mbiu ya chama tawala cha ccm. Kwa kulizingatia hilo nategemea leo hii ndani ya JF amani itatawala na sitegemei kuona watu wakiendeleza kutuma post zenye misingi ya ubinafsi, ubaguzi na chuki. Kwani ubinafsi ni chanzo cha ubaguzi, ubaguzi ambao uzalisha chuki na baadae chuki hiyo huvunja amani. Imefika wakati watu lazima tufahamu na tukubali kuwa kuwepo kwa wewe ndiko kulikonifanya mimi kuwepo na maisha yangu mimi yawe ni kitu cha msingi katika maisha yako wewe. Siasa haimaanishi mfarakano ingawa wakati mwingine tunafikia hapo na wala upinzani katika siasa hauna maana ya kupinga ila kuwa na mawazo mbadala ingawa upinzani wetu umejikita katika kupinga pekee. Haya ni ya msingi na lazima yapewe mazingatio yanayostahili.,TAMBUA maisha yangu yanasehemu katika maisha yako na kwa mfano huu ni CCM inayoifanya CHADEMA iishi.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ukiepuna na haya basi amani itakuwepo, vinginevyo amani haina maana yoyote, wengine wameshiba tena kwa jasho letu....halafu mnatuambia mambo ya kauli mbiu....
   

  Attached Files:

 3. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kama ilivyo kwa ujinga wa Watanzania unavyoifanya CCM iendelee kutawala
   
 4. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  inawezekan na wewe pia mtanzania
  ila mimi sikwiti wewe mjinga....
  na nnakukumbusha kwamba,,,, WATANZANIA PIA SIO WAJINGA..
  umeghafilika mkuu
   
 5. s

  suley Member

  #5
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  upi weledi wa chadema uliowakomboa watanzania...?
   
Loading...