mmh! hiyo ndio nasikia leo. na hao wataalam waliomwambia hivyo ni wa hospital gani?.
Jamani nisaidieni hili, kuna dada mmoja mrembo sana naye alikua hayuko tayari kuupoteza urembo wake pamoja na afya baada ya kusikia maji ni dawa ya mambo mengi, kama kutengeneza ngozi iwe nyororo bila chunusi kutoa mafuta na uzito kupungua kuwa fiti kutibu magonjwa nk. sasa mdada huyu kwasiku alikuwa anajitahidi kunywa maji meengi kiasi cha lita7 kila siku, after 2weeks akawa haoni yaani kawa blind kabisa kupelekwa hospital wataalam wakamwambia ameflash madini yòote mwilini kwahiyo matatizo yataendelea kuibuka siku hadi siku hatimaye baada ya mwezi 1 akafa.
Madaktari naombeni mnijuze kuna ukweli kwenye hilo? Baada kutumia maji mengi yanageuka kuwa sumu?
Loly ni kweli kunywa maji mengi kupita kiasi kuna madhara maana yale madini yaliyoko mwilini unayaondoa, huyu alikuwa kiboko lita saba za maji in a day i guess she was more than desperate, lita mbili za maji a day ndio kipimo kizuriJamani nisaidieni hili, kuna dada mmoja mrembo sana naye alikua hayuko tayari kuupoteza urembo wake pamoja na afya baada ya kusikia maji ni dawa ya mambo mengi, kama kutengeneza ngozi iwe nyororo bila chunusi kutoa mafuta na uzito kupungua kuwa fiti kutibu magonjwa nk. sasa mdada huyu kwasiku alikuwa anajitahidi kunywa maji meengi kiasi cha lita7 kila siku, after 2weeks akawa haoni yaani kawa blind kabisa kupelekwa hospital wataalam wakamwambia ameflash madini yòote mwilini kwahiyo matatizo yataendelea kuibuka siku hadi siku hatimaye baada ya mwezi 1 akafa.
Madaktari naombeni mnijuze kuna ukweli kwenye hilo? Baada kutumia maji mengi yanageuka kuwa sumu?
shule si mchezo mkuu, bora kulima. jaribu kusoma aya 2 tu kwa siku. mhimu unywe maji kabla ya kusikia kiu na usisahau kutumia chumvi hasa ile ya mawe ya baharini (unrefined sea salt).nimesoma mpaka mwisho lakini nilipofika mwisho nimesahau ya juu yote;
kumbe shule ni kazi
Naomba ufafanuzi kuhusu hiyo kauli (Red) pia naombashule si mchezo mkuu, bora kulima. jaribu kusoma aya 2 tu kwa siku. mhimu unywe maji kabla ya kusikia kiu na usisahau kutumia chumvi hasa ile ya mawe ya baharini (unrefined sea salt).
Naomba ufafanuzi kuhusu hiyo kauli (Red) pia naomba
ufafanuzi wa kina kwa sisi tunaopenda maji Baridi!
Naomba ufafanuzi kuhusu hiyo kauli (Red) pia naomba
ufafanuzi wa kina kwa sisi tunaopenda maji Baridi!