segere JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 539 Reaction score 262 Nov 23, 2014 #21 luckyline said: maskin tamaa ya moyo uwaziri utapata lin mkuu Click to expand... .roho i radhi kusema hapana, ila mwili ni dhaifu, masikini moyo wangu mie.....
luckyline said: maskin tamaa ya moyo uwaziri utapata lin mkuu Click to expand... .roho i radhi kusema hapana, ila mwili ni dhaifu, masikini moyo wangu mie.....
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 Nov 23, 2014 #22 Hatari sana sheikh...
Payer JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 824 Reaction score 189 Nov 23, 2014 Thread starter #23 Khantwe said: Hatari sana sheikh... Click to expand... Mansha laaah
G geofrey tukq Member Joined Nov 22, 2014 Posts 20 Reaction score 5 Nov 23, 2014 #24 ni kweli jamani kagera balaa tupu
Payer JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 824 Reaction score 189 Nov 23, 2014 Thread starter #25 geofrey tukq said: ni kweli jamani kagera balaa tupu Click to expand... Na ole wako uwe na gari hafu mfungua zipu.... Unalo. Nadhani kuna 7bu kwanini mgonjwa wa kwanza wa ukimwi alipatikana kule
geofrey tukq said: ni kweli jamani kagera balaa tupu Click to expand... Na ole wako uwe na gari hafu mfungua zipu.... Unalo. Nadhani kuna 7bu kwanini mgonjwa wa kwanza wa ukimwi alipatikana kule
luckyline JF-Expert Member Joined Aug 29, 2014 Posts 15,153 Reaction score 21,788 Nov 23, 2014 #26 tinna cute said: sanaaa,, na anajua kupendelea. Click to expand... kuwen makini na izo shep wenda mchina kashafanya yake. ivi hii pic si yule alosababisha kaka wa watu anarest in peace?
tinna cute said: sanaaa,, na anajua kupendelea. Click to expand... kuwen makini na izo shep wenda mchina kashafanya yake. ivi hii pic si yule alosababisha kaka wa watu anarest in peace?
G geofrey tukq Member Joined Nov 22, 2014 Posts 20 Reaction score 5 Nov 23, 2014 #27 ebwana embu ngoja niwahi kanisani du
Payer JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 824 Reaction score 189 Nov 23, 2014 Thread starter #28 luckyline said: kuwen makini na izo shep wenda mchina kashafanya yake. ivi hii pic si yule alosababisha kaka wa watu anarest in peace? Click to expand... Hamna mchina hapo. Binadamu ashafanya yake. Nimewahi muona kama uyo kigamboni, ila ni mchafu yule Dada mmmh....
luckyline said: kuwen makini na izo shep wenda mchina kashafanya yake. ivi hii pic si yule alosababisha kaka wa watu anarest in peace? Click to expand... Hamna mchina hapo. Binadamu ashafanya yake. Nimewahi muona kama uyo kigamboni, ila ni mchafu yule Dada mmmh....
G geofrey tukq Member Joined Nov 22, 2014 Posts 20 Reaction score 5 Nov 23, 2014 #29 kishumundu bila shaka
Payer JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 824 Reaction score 189 Nov 23, 2014 Thread starter #30 geofrey tukq said: ebwana embu ngoja niwahi kanisani du Click to expand... Ibada njema mkuu
mullaX JF-Expert Member Joined Aug 11, 2014 Posts 312 Reaction score 97 Nov 23, 2014 #31 Huyo wa kwanza c wanadai ndio alikua na marehem mmilik wa club moja huko Bukoba wakirahatupika. Eti ni mzanaki sio wa Bukoba.
Huyo wa kwanza c wanadai ndio alikua na marehem mmilik wa club moja huko Bukoba wakirahatupika. Eti ni mzanaki sio wa Bukoba.
G geofrey tukq Member Joined Nov 22, 2014 Posts 20 Reaction score 5 Nov 23, 2014 #32 hawa tunawajua uzuri wq sura tu hamna kitu humo
Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,566 Nov 23, 2014 #33 huyu ndo yule jamaa alipiga bao tatu kwenye gari akafa ??
Payer JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 824 Reaction score 189 Nov 23, 2014 Thread starter #34 mullaX said: Huyo wa kwanza c wanadai ndio alikua na marehem mmilik wa club moja huko Bukoba wakirahatupika. Eti ni mzanaki sio wa Bukoba. Click to expand... Wanazanaki mmemchukua kwa mkopo?
mullaX said: Huyo wa kwanza c wanadai ndio alikua na marehem mmilik wa club moja huko Bukoba wakirahatupika. Eti ni mzanaki sio wa Bukoba. Click to expand... Wanazanaki mmemchukua kwa mkopo?
Payer JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 824 Reaction score 189 Nov 23, 2014 Thread starter #35 Emma. said: huyu ndo yule jamaa alipiga bao tatu kwenye gari akafa ?? Click to expand... Bao ngapi?
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,758 Reaction score 39,493 Nov 23, 2014 #36 segere said: .mmmh!!! u mwanachama wa CHAPUTA nini?.. Click to expand... Sio tu mwanachama bali ni mweka hazina,muasisi na memba wa kudumu....
segere said: .mmmh!!! u mwanachama wa CHAPUTA nini?.. Click to expand... Sio tu mwanachama bali ni mweka hazina,muasisi na memba wa kudumu....
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Nov 24, 2014 #37 KikulachoChako said: Mambo kama haya huwezi kuyakuta uchagani.....Cc miss chagga Click to expand... ngumu sana kukuta uchagani
KikulachoChako said: Mambo kama haya huwezi kuyakuta uchagani.....Cc miss chagga Click to expand... ngumu sana kukuta uchagani
Payer JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 824 Reaction score 189 Nov 24, 2014 Thread starter #39 miss chagga said: ngumu sana kukuta uchagani Click to expand... Wewe miss Chagga, mchina hajafika kule...?...
miss chagga said: ngumu sana kukuta uchagani Click to expand... Wewe miss Chagga, mchina hajafika kule...?...
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Nov 24, 2014 #40 Payer said: Wewe miss Chagga, mchina hajafika kule...?... Click to expand... kafika ila tunapenda flat zetu
Payer said: Wewe miss Chagga, mchina hajafika kule...?... Click to expand... kafika ila tunapenda flat zetu