Ama kweli sasa nimeamini wanaume wako tofauti kimaumbile

Miss Curious

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
315
497
Usimtukane mamba wakati bado hujavuka mto!

Niwe tu mkweli huwa sipendi kuweka mambo yangu ya mahusiano wazi ila kwa faida ya wanawake wenzangu ngoja leo nisimulie kakisa haka kafupi kaukweli;

Mwishoni mwa mwaka jana nilibahatika kukutana na mwanaume mmoja matata sana kuanzia mwonekano, hadhi, nk ni m'bongo ila ana mambo ya kizungu saana yani dah!

Baada ya kufahamiana naye tukawa marafiki wa kawaida na weekend kadhaa tukawa tunaenda out mara club mara beach mara dinner nk.

Kwa utuuzima wangu na exprience nilishaona kuwa kuna kitu anakitaka kutoka kwangu nikawa makini naye ila kwa jinsi alivyo mcheshi, mstaarabu, mzurii nikajikuta na mm nimeshazama kabisa!

One time tupo sweaming na kiboxer chake nikaona kwa juu kama hamna kitu kabisa nikajiuliza huyu ndio wale vibamia wanaozungumziwa au mana mm sijawahi kukutana na kibamia nikapiga moyo konde nikasema coz I'm a curious gal I will know the truth.

Siku moja baada ya 3months kupita tukakubaliana kula tunda la Adam na Hawa ikawa ikafika sasa nikawa najiuliza kama ni kibamia itakuwaje but it will part of learning.

Sio siri tulipofika bedroom tukaamua tukaoge pamoja sasa ili nijue nikaamua nimwogeshe bby ili nione kibamia nikaanza na sehemu za mgongoni, kifuani na nilipofikia dudu nikaona ni kadogo sana pia kembamba I have never seen before but nilipokashika nikasafishe kalipngezeka urefu na upana zaidi ya mara tano nikastuka au macho yangu mabovu kuangalia kumbe kuna ambazo zikilala zinapotea kabisa tofauti na wengi tulivyozoea mahogo mengine yakilala ni makubwa vilevile ila ukali tu ndio haupo.

Kuthibitisha kuwa ile mashine ni self adjustive machine baada ya game kumalizika ikarudi pale pale tu kama cha mtoto wa miaka7.
Sio siri huyu jamaa hata akivaa boxer huoni kitu but subiri umguse hataree yani akivaa suruali huwezi ona hata dalili ya hogo .

Sio siri amenifurahisha sana na nimependa kwenda naye tofauti kwani sio unatoka na limwanaume hogo limevimba kwenye suruali kama ugomvi!

My take kwa wadada msipende kupima kina kwa macho kumbe maji yaliyotulia yanazamisha kweliee!.

Kama una povu kafue boxer yako chafu hiyoo.
 
Back
Top Bottom