Ama kweli usimdharau usiyemjua

Kuna jamaa mmoja alikuwa houseboy wetu miaka niko mdogo.

Alikuwa mshambamshamba tu ndo katoka kijijini.

Nilikuwa napiga story na binamu yangu mmoja, ananiambia kwamba jamaa alikuja kuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio makubwa sana kwa kulinganisha na alipoanzia.

Hata Magu kaja mjini tunamuona anava mapekos na masuti oversize, sasa hivi anatupelekesha puta.
 
Upepo hubadilika yaan
 
Atakua mkinga huyo jamaa!! Kidding
 
Nimejikuta nacheka aisee. Huyu jamaa atakuwa anatumia computa ya ofisi. Sasa mara paaap, bosi kaingia... na jamaa hataki bosi ajue ID yake kazima komputer ghafla......... Tusubiri mpaka kesho akifungua ofisi cha kwanza atakuja kumalizia story yake
Sikunyingine nitaazima CPU yako mkuu, nisitumie ya ofisi mkuu
 
jamaa kawapa tittle naona mnatiriririririka tu
 
Mkuu tupia picha ya mapekos wengine hatuyajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…