The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,370
- 103,707
Sure..wape ushauri wanaotafuta wanaume...Ukiwa na akili hii lazima ulaumu wanaume kila siku!!
Waachane na maisha ya TikTok etc!!Sure..wape ushauri wanaotafuta wanaume...
Wanasema kosa pesa ujue tabia ya mkeoMwambie hayo ya kawaida hawa wanawake tunaokutana nao tukiwa na ajira,mimi nilifukuzwa kazi nikauza gari nililonunua milioni7kwa shsmilioni moja na laki tano!Na vitu vingine baada ya kuuza vitu vingi nikawa tena sina kitu cha kuuza hapo ndipo kipengere kikaanza na figisu kibao;Hadi nikapelekwa gereza la Isanga baada ya kukosa mdhamini!Mwambie asiwaza apambane Mungu ni mwema ndoa ya kweli ni ya mkulima tuu!
Big noo , jamaa yako hajakosa hela , amepungukiwa tuu Kwa kiwango ambacho huyo slayqeen wake kinamtoa kwenye mudi, mwanamke akikupenda acha kabisa , atakutia moyo Sana na atafanya kila liwezalo uinuke...na kabla ya kuoa wanaume wote huwa tunapitia kwenye uamuz wa makundi hayo mawili , demu unayemfukuzia na demu anayekupenda , mara nyingi huwa tunaangukia Kwa demu unayemfukuzia na kumtosa anayekupenda , shughuli huanza ukiishiwa mtajiKukikosekana hela mzee hata kama anakupenda vipi, uvumilivu utamshinda!
Tatizo alikula kiapo cha mpaka kifo kitutenganisheAnang'ang'aniaje pahala anapoona hapana muendelezo wa mbele? Aamue mapema kuliko kujifariji kwa kusubiri ilhali anajua fika kuwa ndoa yake haina uhai wa muda mrefu.
Wata survive kama mh ataweka Sawa Uchumi , nje ya hapo misuguano haitaishaMambo yao waachie wenyewe. Na watadumu maisha yao yote utashangaa ubaki mdomo wazi
Braza we mkulya nn?Na kumtandika makofi anasubiri nini.
Kuna wanawake bila kuwazabua akili haiwakai sawa.
Kukikosekana hela mzee hata kama anakupenda vipi, uvumilivu utamshinda!
Wata survive hivyo hivyo na misuguano yaoWata survive kama mh ataweka Sawa Uchumi , nje ya hapo misuguano haitaisha
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Natamani nipate wa design yako nimnyoosheKuna wimbo maarufu huko tiktok wa mnaijeria
Number one give her money....
Number 2 just give her money....
Number 3 find money and give her money...
Number 4 give her money....
Number five if u don have money borrow money and give her money....
Hiyo ni nyundo kwenye msumali umegusa sehemu sahihiMwambie jamaa yako aachane na maneno ya huyo mke wake aangalie matendo zaidi, wanawake ndivyo walivyo, akiona matendo ya mkewe hayaridhishi aangalie namna nzuri ya kisaikolojia ya kumuweka sawa na akishindwa kabisa amfanyie mkewe figisu mpaka hahakikishe kaachishwa kazi .
Nb.Mwanamke anaye omba hela za matumizi kwa mwanaume ni bora zaidi kuliko mwanamke anayejiweza kiuchumi
Huyu Kalpana si ni mbumbumbu lia lia.Rage alishasemage hawana akil hakuna ipande ule.Ukiwa na akili hii lazima ulaumu wanaume kila siku!!
Kweli mkuu ni balaa,utakuwa yaya home!
C I A mindsetHuyo jamaa mshauri ambembeleze huyo Malaya wake ( mke?)apoe kidogo. Akisha poa amfanyie timing amtundike mimba, hapo mchezo kwisha. Jamaa atapendwa mno. Hii ni kwa sababu wanawake wengi hawapendi kuonekana Wana mimba isiyojulikana baba wa mtoto .
Duuh balaaaa!Kuna wimbo maarufu huko tiktok wa mnaijeria
Number one give her money....
Number 2 just give her money....
Number 3 find money and give her money...
Number 4 give her money....
Number five if u don have money borrow money and give her money....