Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,617
- 3,718
Mwambie hayo ya kawaida hawa wanawake tunaokutana nao tukiwa na ajira,mimi nilifukuzwa kazi nikauza gari nililonunua milioni7kwa shsmilioni moja na laki tano!Na vitu vingine baada ya kuuza vitu vingi nikawa tena sina kitu cha kuuza hapo ndipo kipengere kikaanza na figisu kibao;Hadi nikapelekwa gereza la Isanga baada ya kukosa mdhamini!Mwambie asiwaza apambane Mungu ni mwema ndoa ya kweli ni ya mkulima tuu!
Mkuu ww una story..,embu elezea zaidi!!Mwambie hayo ya kawaida hawa wanawake tunaokutana nao tukiwa na ajira,mimi nilifukuzwa kazi nikauza gari nililonunua milioni7kwa shsmilioni moja na laki tano!Na vitu vingine baada ya kuuza vitu vingi nikawa tena sina kitu cha kuuza hapo ndipo kipengere kikaanza na figisu kibao;Hadi nikapelekwa gereza la Isanga baada ya kukosa mdhamini!Mwambie asiwaza apambane Mungu ni mwema ndoa ya kweli ni ya mkulima tuu!
Hebu nijuze hizo kanuni nijifunzeAkope hela ampe...
Amesahau kanuni 5 za kuishi na mwanamke?
Tatizo hili linatibika Kwa kuoa mwanamke anayekupendaRafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutananazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake yakiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,
Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yangualafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake ...
Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito .
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kukikosekana hela mzee hata kama anakupenda vipi, uvumilivu utamshinda!Tatizo hili linatibika Kwa kuoa mwanamke anayekupenda
Unajua huyu ni mkulima tuu ndo ajira yake hadi kifo na hana mshahara,bei ikipanda faida ,ikishuka hasara ya mazao yake!Hizi za kusoma salary slip na mamitoko ya out mkulima hana.Ndoa ya mkulima kwa nini ya kweli ?
Kuna wimbo maarufu huko tiktok wa mnaijeriaHebu nijuze hizi kanuni nijifunze
Ukiwa na akili hii lazima ulaumu wanaume kila siku!!Kuna wimbo maarufu huko tiktok wa mnaijeria
Number one give her money....
Number 2 just give her money....
Number 3 find money and give her money...
Number 4 give her money....
Number five if u don have money borrow money and give her money....
Mkuu baada ya hapo nikakomaa mahakama ya kazi!Miaka 8nikawa nauza maji ya bombani kwa wenyeji wa kitopeni,Mungu saidia nikashinda kesi na kulipwa!Alivyosikia!Kaja kama mwewe na mahaba kibao.Ila sisi wanaume sio wote,tusimcheke Samson wa kwenye bible.Mkuu ww una story..,embu elezea zaidi!!