Acha upuuzi ww na siasa zenu za maji taka.Solution ni kurudi kijijini kulima..simple serikali ina mambo mengi sio kutoa ajira tu nani aliwaambia wakimaliza kusoma wataajiriwa?
..Hv fulsa ni kulima tu hapa Tanzania!??maana kila anaetoa ushauri ni huo huo rudi kijijini kulima....tupanuane mawazo jamani kilimo vilevile bado sio suruhusho kwa kijana wa kitanzania maana ukweli hata masoko ya hayo mazao bado ni ubabaishaji tu na story zisizoisha....Solution ni kurudi kijijini kulima..simple serikali ina mambo mengi sio kutoa ajira tu nani aliwaambia wakimaliza kusoma wataajiriwa?
Kweli kabisa..Hv fulsa ni kulima tu hapa Tanzania!??maana kila anaetoa ushauri ni huo huo rudi kijijini kulima....tupanuane mawazo jamani kilimo vilevile bado sio suruhusho kwa kijana wa kitanzania maana ukweli hata masoko ya hayo mazao bado ni ubabaishaji tu na story zisizoisha....
Ah ah ah wao wanasisitiza kujiajir lakin wao hawaonyeshi mifanoumesoma shule ya kata ukajitahidi umefaulu vizuri ukaenda chuo kusoma kwa mkopo leo eti ukajiajiri kwa mtaji upi? wewe na phd yako na uprofesa wako leo miaka 25 upo kwenye ajira ya kuajiriwa kwa nini hukuacha kazi ukajiajiri? acheni hizo leo ulitumbuliwa presha juu
Wewe umejiajiri?Solution ni kurudi kijijini kulima..simple serikali ina mambo mengi sio kutoa ajira tu nani aliwaambia wakimaliza kusoma wataajiriwa?
Kulima ni adhabu kwa watz..Hv fulsa ni kulima tu hapa Tanzania!??maana kila anaetoa ushauri ni huo huo rudi kijijini kulima....tupanuane mawazo jamani kilimo vilevile bado sio suruhusho kwa kijana wa kitanzania maana ukweli hata masoko ya hayo mazao bado ni ubabaishaji tu na story zisizoisha....
Kazi yeyote ngumu isiyo na Tija kwa muhusika...HIYO NI ADHABU.Kulima ni adhabu kwa watz
Mkuu laki si pesa,Solution ni kurudi kijijini kulima..simple serikali ina mambo mengi sio kutoa ajira tu nani aliwaambia wakimaliza kusoma wataajiriwa?
Gambo anawatisha he!!!hiyo nyundo hiyo inagonga mbaaaah!!Ndo umeandika nini? Rudia kusoma unakimbizwa?
Acha upuuzi ww na siasa zenu za maji taka.
Kichwani mweupe km chokaa.
USIJIFIKIRIE WW MWENYEW KM WAFIA CHAMA WA LUMUMBA. Fikiria na wengine.
Km una sehemu ya kukuwezesha kuingia chooni. Mshukuru Mungu
Watu wamelima nyanya msimu uliopita wakaishia kuuza ndoo kubwa ya lita 20 iliyojaa mpaka pomoni kwa shilingi 2000 pale Morogoro,unaweza kulima ukaangukia pua tu,tupatieni ajira mwisho wa mwezi tuwe na uhakika.Hata kilimo siyo cha kuvamia tu.
Wao wanakimbilia siasa hadi kwenda kuroga ili wafanikiwe,kujiajiri sio rahisi kama wanavyofikiria pia ni karama kutoka kwa mola sio kila mtu anaweza.Ah ah ah wao wanasisitiza kujiajir lakin wao hawaonyeshi mifano