Ama kweli majuto ni mjukuu..

Ama kweli majuto ni mjukuu..

Pilocarpine

Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
27
Reaction score
27
Bila nidhamu ya pesa kwenye haya maisha,lazima kuna siku lazima utakuja kujutia.
Hiyo ndo hali niliyonayo saivi

Vijana wenzangu hasa ambao bado hatujawa na source ya kudumu ya kupata kipato,tuheshimu sana hela.

Nakosa hata hela ya kula kweli!,majuto kweli ni mjukuu.
 
Uza simu upate hela ya mtaji na ya kula leo.
 
Bila nidhamu ya pesa kwenye haya maisha,lazima kuna siku lazima utakuja kujutia.
Hiyo ndo hali niliyonayo saivi

Vijana wenzangu hasa ambao bado hatujawa na source ya kudumu ya kupata kipato,tuheshimu sana hela.

Nakosa hata hela ya kula kweli!,majuto kweli ni mjukuu.
Pesa huwa zinatufanya tunajisahau sana.. hasa hela za dili za chap chap! Wewe sio wa kwanza ukija kuzipata tena utarudia ujinga uliokuwa unafanya...

Mi kuna kipindi nilikuwa sikosi mil 3 mpaka 5 kwa mwezi.. nikaona maisha si ndo haya.. nikaanza kuwaza magari na simu za bei kali, saiz nataman hata ningenunua viwanja kila mwezi au ningesimamisha hata kajumba kadogo...

Lakini si mbaya baada ya msoto wa miezi kadhaa saiz nimeanza kurudi kwenye form!!
 
Mnapotaja nidhamu ya pesa...tusaidieni tusaidieni tusaidieni tusaidieni wenzenu tunashindwa nikipata laki 3 (300,000/=)monthly nifanyeje
Hakuna nidhamu kwenye laki 3 mkuu, nidhamu ya hiyo senti ni kula tu. Ukiipa nidhamu senti yako hiyo utakufa na njaa.

Nidhamu inayojadiliwa hapa ni fedha (siyo senti), yaani kipato cha mamilioni kwa mwezi (mil 2, 3, .....).
 
Hata kama ni ndogo bado naamini lazima uwe na discipline nayo
 
Aiseee pole sana,.nidhamu si kwenye pesa pekee,.MAISHA kwa ujumla yanahitaji nidhamu ya hali ya juu...

NB:hujala bado mpaka SAA hii?!
Kweli nidhamu ndo kila kitu,nimeamini hilo kwenye changamoto nilizonazo.
Swala la kula ni mimi tu na moyo wangu tunalijua
 
Mungu asiposhiriki na kuhusika katika kipato chako, nidhamu and all other staff ni porojo tu.
Mkuu Mungu shughuli yake kubwa ni kukupa uhai na kuulinda, mengine ni jukumu lako.

Tumia kipato chako kwa busara, huo ndio msingi pekee wa kufanikiwa katika malengo yako.
 
Mkuu Mungu shughuli yake kubwa ni kukupa uhai na kuulinda, mengine ni jukumu lako.

Tumia kipato chako kwa busara, huo ndio msingi pekee wa kufanikiwa katika malengo yako.
Ni kweli kwa unayoyasema
 
Back
Top Bottom