Ama kweli Lowassa amekwaa kisiki hatari!

Labda tujaribu kuwa wabunifu kidogo...na tuache kutumia akili za misukule.....lowassa ndio raisi waawamu ya tano RIP ccm
 
mimi nakaa flat za lumumba hapa ila kila siku kuna vikao vya ghafula wanatetemeka jamani......sisi magufuli tunampenda lakini tatizo ni huyu sisiemu......
 

Aya ya mwisho "Watanzania wachache" jua kuwa wengi hawamuelewi hivyo hawatapiga kura kwa CCM
 

uko vizuri. Hi ndio nchi ya kitu kidogo na ya watu wachache. Inauma sana watanzania tunadharaulika na nchi nyingine Kagame ni mfano mzuri
 
wengi malofa na wapumbavu katika ubora wao tutampa kura lowassa kwani tunaamini anakubalika na anauzika bila usumbufu. hayo ya mafioso na mafisadi unity yako huko ccm kwani ndio wanaonunua hata wapinzani ili wajitoe wabaki wao tu. Lowassa anasonga mbele na hakuna kisiki tena kwani njia inasafishwa na watanzania wapiga kura wenye kutaka mabadiliko ya mfumo kupitia sanduku la kura. pamoja na kumpa airtime vituo vyote vya luninga , pamoja na kuchana picha za mgombea wetu lakini hilo halitatubadili.
 
Ubogo wa samaki unakuja humu tutoa pumba wamekuonjesha pesa hapo ndo mwisho wa ubongo wako unamajukumu au unaishi kwa shemeji ako we pole na ccm yako
 
Kwenye mikutano yenu fanyeni haya halafu urudi tena hapa JF:

1. Msitumie malori kusafirisha watu
2. Msiwatangulize jukwaani akina daimond na ze komedi!

Kwani kuna tatizo gani kuleta watu wa maeneo ya mbali ambayo unaamini huwezi kufika ili waje wasikilize sera.Hicho kitu cha kujiamini na wingi wa watu kwenye mikutano kitawagharimu UKAWA.Binafsi nimeshuhudia watu wengi katika mazingira niliyopo wakihudhuria mikutano ya Wagombea wote wa Urais wanaokuja,lakini wanagawanyika sana ni yupi wampigie.Fanyeni siasa ya kisayansi.
 
Ubogo wa samaki unakuja humu tutoa pumba wamekuonjesha pesa hapo ndo mwisho wa ubongo wako unamajukumu au unaishi kwa shemeji ako we pole na ccm yako
Ungekaa kimya ingekua bora kuliko huu upuuzi uliouweka hapa.!
 
Upo bize kweli hapa JF kila thread kutetea ccm utafikiri utapiga kura mara milioni mbili kuokoa jahazi mfu ccm
wewe bawacha jitahidi umchgue magufuli achana na lile genge la wezi waliojikusanya wanajiita upawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…