Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Hakuna kama Sofa!








Uzuri wa nyumba ni choo bhana !
Na uzuri wa choo si ukubwa wake tuu, bali Ulaini, na wepesi unaopata ktk kumaliza haja zako, vyoo vingine vinanukia atii
Halafu cho chahitaji matunzo na ustadi wa kukitumia. Wengi wana vyoo vzuri lakini hawajui kuvitunza na kuvitumia
Ajabu ya choo waweza pita mikocheni ukakuta choo kibaya ukapita tandale ukakuta choo kizuri
Tabu tunapata sisiWenye flat screen zetu tutapata tabu sana.
Eti sisi ni masela wenzao 🙄🙄




wanajifanya kutuponda na mababy zao nje ya jf flatscreen nguvu ya nyuma ya keyboardwanajifanya kutuponda na mababy zao nje ya jf flatscreen nguvu ya nyuma ya keyboard



Kabisa maa