Ama kweli bongo mtu hulali njaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ama kweli bongo mtu hulali njaa

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 11, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
  </td> <td width="606">
  </td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Gari hili linalotajwa kuwa ni la kifahari na lenye thamani kubwa, likiwa limeegeshwa katikati ya barabara ya Sam Nujoma, Mwenge jijini Dar es Salaam likiwa tayari kwa ajili ya kukodishwa. Magari ya namna hii hivi sasa yamekuwa ‘dili’ jijini hapa na uchunguzi unaonesha asilimia kubwa huwa ni ‘famba’ (feki) kwani huwa yanaungwa ungwa hapahapa Bongo ili wamiliki waweze kuganga njaa.

  </td></tr></tbody></table>
   
 2. T

  Tall JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Mambo ya bongo haya,hahami mtu hapa,tutabanana hapahapa.
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kama huu ni iusemi wako mkuu tafadhali fafanua kidogo, feki kwa maana gani? kwa sababu yameungwa bongo? GMC kama kiwanda hawatengenezi limo ndefu kama hizi!...ukiiona barabarani hata marekani kwenyewe ujue imeungwaungwa mitaani! Sasa ufeki unaanzia wapi? au mpaka watengeneze wakina Riyan wa West Coat au Socal Customs ndiyo iwe ya Ukweli? Kama imeundwa bongo ni suala la kujisifu.
   
 4. N

  Nanu JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  ukilala njaa uvivu wako tuuuu!!!!
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mi nilijua yanatoka 'ulaya' kumbe yanaungwa ungwa hapa hapa kwetu!
   
 6. gwambala

  gwambala Member

  #6
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sema zana tu ndo tuko hoi wabongo lakini zingewepo za kutosha,mbona bongo mzuka vijana wametulia kwa kumodifai
   
Loading...