Ama kweli biashara matangazo!!!!!!!!!

Naona hiyo itakuwa Mississippi Marekani, maana watu wa kule wana asili ya u-obese. Hapa TZ hakuna kitu kama hiyo.
 
Naona hiyo itakuwa Mississippi Marekani, maana watu wa kule wana asili ya u-obese. Hapa TZ hakuna kitu kama hiyo.

Marekani halafu wameandika kibongo ay ndo kusema wanawauzia wabongo walioko huko?
 
Kumbuka hiyo chupi ni mtumba, hivyo inaweza kuwa inatoka Marekani au mitumba haitoki Marekani siku hizi?
 
Marekani halafu wameandika kibongo ay ndo kusema wanawauzia wabongo walioko huko?


Usipende kukurupuka kujibu tu bila kufikiria. Kumbuka hiyo chupi ni mtumba, hivyo inaweza kuwa inatoka Marekani au mitumba haitoki Marekani siku hizi?
 
Muache kuharibu mionekano ya maduka au ofisi za watu, kwa kujitengenezea au kubuni mawazo yako. Kwa kuangalia vzuri hyo "nguo ya ndani" ni kwamba imepachikwa tu kutokana na ubunifu wa ku2mia coputer.
Ebu jus imagine, mtu anakuja kwako anapiga picha mlango wa kuingilia nyumbani kwako, kesho unaukuta kwenye mitandao ya kijamii umebandikwa neno CHOO AU ZIZI LA NGURUWE, utajisikiaje.??
Angalizo:
husichopenda kutendewa, kamwe husimtendee mwenzako.
 
Hiyo Kubbra fashion angalia wanazi wa kiarabu wasichafue hewa hapa. Ila hiyo ndude kubwa kweli kweli.
 
Mitaa ya sabena kwa juu kidogo! opposite na stend ya mkoa chuga city.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…