Ama kweli akili ni nywele

Wewe uliweza kumsaidiaje huyo ndege ili aweze kuondoka na watoto wake salama, au uliweza kumpiga picha na kuja kuitundika apa?????sasa apo wewe na uyo ndege nani mwenye akili?????
Brother don't take it too seriously. save your breath hiyo picha nimeikopi tu somewhere.
 
msosi wao bila kutoka jasho
Hiyo mipangilio ya Mwenyeezi-Mungu...Sisi BinaADAMU na nguvu zetu zote kesho tunakuwa mloo wa funza na wadudu!!..
Alafu tazama mzunguko huu wa uhai.... wanyama,samaki,ndege,wadudu,mimeya,nk... kila mmoja humfaa mwengine!!
 
kweli kabisa ili maisha yawepo na yaendelee mpangilio huo lazima ufanye kazi,
 
Wewe uliweza kumsaidiaje huyo ndege ili aweze kuondoka na watoto wake salama, au uliweza kumpiga picha na kuja kuitundika apa?????sasa apo wewe na uyo ndege nani mwenye akili?????

Mwenye akili ni aliyepiga picha jombiii- kwa kupotea hao watoto panya, mijusi, mende, sisimizi etc nao wanapata shibe yao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…