Hahahahaaaaa weeeweeeee unataka zero distance loooh full kugandiana na kubanana mmh heheheheeeee. Hiyo ya blues rehearsal yake nafanya na baba Rainer tuu wewe itabidi tufanye ya salsa au charanga unaziweza hizo?
A a .....
nisije kuwa over dozed na mafunzo tu lol
tunayo antidote pia!
Hahahahaaaaaaa just jongea eneo la tukio tuanze na give up to me kisha tunamalizia na tempted to touch, u'll be alone looh!! ila usichelewe sasa.
ahahhahahhahahhaha kwisha habar yako! sakapal unaweza kuendelea my wee!
mi staki upate shida saaaana kufundisha wanafunzi wanaoanza kujitetea kuwa hawataelewa kama hawa!
Mimi angekuwa anafanya rehearsal ya Blues..i'd definately have accompanied her!!!
tempeted to dance ragga muffin na si mduara best, karibu for swing steps