Sakapal natumai semina imefikia mahala pake,nasubiri kusikia kitakachojiri.Habari zenyuu,
Rupee - Tempted to Touch - YouTube
This early morning, someone somewhere has send me this song and want a dance with me in the evening today, he said he is temped to dance with me after lats week end dance. Sasa hapa nafanya mazoezi ili nimbeat maana haya manyimbo ya design hizi huwa nayapenda na nayarudi kisawasawa. Anyone to accompany me please while am doing my rehearsals, otherwise enjoy the day buddies.
to hell with soul mate lol
atajibeba naona
Hahahah...naona umefufua yaliyozikwa
we unayako mambo wewe!! na nshayajua...........
haya habari ya soul mate imekujaje hapa?
we hujawahi kuwa temped?
karibu riheso looh!!
Yaani kuna watu wafukunyuzi hadi basi, ngoja na mie nifukunyue ya kwao,
anyways karibu riheso jioni ndo dance yenyewe.
unafikiri unavozika wa kwako ndo kila mtu, holla wangu yuko palepale, hapewi mtu nafasi full soulmatingHujaiona hii movie?
mara imekuwa movie tena, basi wewe utakuwa producer na script writer looh
kwanza alikula chakula mdomo wazi
kwani wewe ukila chakula unafumba mdomo au unaacha wazi? au unameza bila kutafuna?
akaambiwa hii ni ishara akitoa nanihii itashambuliwa kikweli kweli
ndo unachokitaka hichooo, tafuna cha kwako mbona kutaka vya wenziooo???
sasa yuko tempted kuona if its true
yes am temped and u???
so hii nyimbo inawakilisha tu her temptation
exactly...
soul mate keshazikwa lol