K' Matata AgainBado ni asubuhi na mchana unakaribia....
Wapendwa, najua wengine inawakera ila huku ndani ya mwili kunafukafuka kuna bubujika Mahaba hadi narukaruka tuu.
Msimu umenoga jamani, nasikia raha kama niko kwenye jaccuzi nachemka lakini siivi eeheheheheee. Likizo ndo imeanza, sikukuu ndo zinakuja, safari kedekede, tiketi ziko tayari, tumbo liko tayari, miguu ishavaa raba tayari kwa kila mwendo wa haraka haraka, polepole, mchakamchaka, kutembea, kukimbia yote mwendo.
Yaani naimba huku nacheza huku Ddadii amejaa kila mahali basi raha ndani ya roho...
To be honest I feel grateful to have my Dadii by my side. Na leo tena Ddadiii as usual, your Kaise always asks for some more. Ya jana ilikuwa tamuuuuu, na leo tenaa....
Dadii am so happy to have you...
Mmmuuaaah!!! Because am happy and happyness is the truth.
Come along and shake your legs if you know your happiness is you...
K' Matata.
Subiri ukipewa mimba utatuliaOooh yeah, Dadii for good
Dadii for life.
Nahemkwa Kasie mie jamani looh mwisho wa mwaka huu acha tuu Mahaba yamenikamata kisawasawa.
Am so happy to have my Dadiii...
Subiri ukipewa mimba utatulia
Chotara akiingia Mzigua90 anachukua nafasiAaahahahahahahahaa sijui itakuwaje kila siku navuta picha.
Ila nahisi huyo chotara atapokamata kuta za tumbo la Kasie, vurugu itakuwa kubwa kuliko hii ya sasa.... yaani Mahaba yatakuwa elfu elfu sio mia mia tena hehehehee.
hahaha!Bado ni asubuhi na mchana unakaribia....
Wapendwa, najua wengine inawakera ila huku ndani ya mwili kunafukafuka kuna bubujika Mahaba hadi narukaruka tuu.
Msimu umenoga jamani, nasikia raha kama niko kwenye jaccuzi nachemka lakini siivi eeheheheheee. Likizo ndo imeanza, sikukuu ndo zinakuja, safari kedekede, tiketi ziko tayari, tumbo liko tayari, miguu ishavaa raba tayari kwa kila mwendo wa haraka haraka, polepole, mchakamchaka, kutembea, kukimbia yote mwendo.
Yaani naimba huku nacheza huku Ddadii amejaa kila mahali basi raha ndani ya roho...
To be honest I feel grateful to have my Dadii by my side. Na leo tena Ddadiii as usual, your Kaise always asks for some more. Ya jana ilikuwa tamuuuuu, na leo tenaa....
Dadii am so happy to have you...
Mmmuuaaah!!! Because am happy and happyness is the truth.
Come along and shake your legs if you know your happiness is you...
K' Matata.
hahaha!
enjoy your holiday homie.
Post zako hazina mvuto tena, ongeza ubunifu au labda umri wangu mdogo sanaa..!Bado ni asubuhi na mchana unakaribia....
Wapendwa, najua wengine inawakera ila huku ndani ya mwili kunafukafuka kuna bubujika Mahaba hadi narukaruka tuu.
Msimu umenoga jamani, nasikia raha kama niko kwenye jaccuzi nachemka lakini siivi eeheheheheee. Likizo ndo imeanza, sikukuu ndo zinakuja, safari kedekede, tiketi ziko tayari, tumbo liko tayari, miguu ishavaa raba tayari kwa kila mwendo wa haraka haraka, polepole, mchakamchaka, kutembea, kukimbia yote mwendo.
Yaani naimba huku nacheza huku Ddadii amejaa kila mahali basi raha ndani ya roho...
To be honest I feel grateful to have my Dadii by my side. Na leo tena Ddadiii as usual, your Kaise always asks for some more. Ya jana ilikuwa tamuuuuu, na leo tenaa....
Dadii am so happy to have you...
Mmmuuaaah!!! Because am happy and happyness is the truth.
Come along and shake your legs if you know your happiness is you...
K' Matata.
ever smilling Kasiee,
Kasie na Mangi,
mambo ni moto mambo ni fayaaa,
nani wa kututenganishaa??
hakuna na hata tokea
mmmuuaahh!!!!
Jina huwa halibadilikiHhahahahahhaa Ddadii mtoto sio,
Halafu wewe mtoto na mahela yako haukuwagi kila siku uko mtoto wa hela....
Kuwa basi uwe Dadii.