southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 906
- 1,109
kanichana anataka mwanaume ambae ameshaanza maisha mimi namchelewesha kupata watotohahahah ameona utamchelewesha sio
kweli mkuuJipe moyo utashinda
Ahsante mkuuPole sana mkuu
inauma sana ila nimeona yupo sahihi japo nampenda sanaAchana na mapenzi,
Mapenzi ni usanii tu na ubatili mtupu
i will try najua nitawezaLet it go- James Bay
Nashukuru sana mkuuPole mkuu....mahusiano yanachangamoto mda flan unapesa kidogo lakini yeye hakufeel....hiyo feelings huwa inaumiza kuliko yako
Mungu akusaidie...yeye anajua vyema unastahili kupata pesa muda gani.
Nakaziapole sana, itabidi utafte pesa
ni kweli najua yatapitaPole mwaya…
Kupendwa na kutendwa kote kupo, so usijali
najitahidi mkuu nimepata nguvu zaidipole sana, itabidi utafte pesa