Am looking for a serious and smart man!

Mpaka umeweka tangazo c bure kuna kasoro unayo..." Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza(chajitangaza).

Kibaya zaidi nyodo kibao asiye na kazi hutaki possibly kazi yako mwalimu..

Hahah...umejuaje!
Thanks for ya comment!
 

Asanteh kwa maoni na mtazamo wako kaka.
 
hahaaa watu hapa maneno yanawatooka halafu washajaza Pm ya mleta thread...

Yaani acha tu. Nina Pm za kutoshaa hadi hapa!

Asanteeeni kwa comment na PM zenu. Hahaha
 

Bila shaka we mkurya maana kuandika kwenyewe tu duuh! haya bana. Asanteh muraaaah!
 
Nimeshawishika kukutafua ila naogopa kitu kimoja tu! Niko nje masomoni kwa sasa ila nina sifa zote unazotaka
 
Sifa zako kwa mwanaume anae jielewa hazi mfai.... samahani kwa kukushusha moyo... unene nikuoe tena uka nenepeane ndani... hakuna tuna taka slim stuffs...and black kwa mbaali...
 
Sifa zako kwa mwanaume anae jielewa hazi mfai.... samahani kwa kukushusha moyo... unene nikuoe tena uka nenepeane ndani... hakuna tuna taka slim stuffs...and black kwa mbaali...

Bila samahani! Moyo haujavunjika kwa maneno hayo hata usiwaze. Nna sababu bilion za kujiamini aiseeh! unene mbona sio hoja..maybe kwako na huyo mwenzako unaemsemea! Me am good with my unene! hahahah...by the nashukuru kwa kunipa sababu nyingine ya kujiamini!
alamsik!
 
Acha mbwembwe dada, huyo mume unae mtaka hayupo jamii forums, Seriously mwanaume aache kumfukuzia binti anae muona kila siku kwa macho, apoteze muda wake kumfukizia mtu asie muona wa JF, hata marafiki zako waki ona hio post wata kushangaa... Afu em tuwekee picha basi tuone kama yaliyomo yamo... isije kua nyie ndio wale wa filters. "Sorry once again for being so rude am just curious" like a feel something is wrong by doing the right thing. Afu ulipo niacha hoi eti utaki mkurya wala muhaya we kabila gani? Una uhakika huyo mwanume ata vutiwa na kabila lako, tena bora huku taja wange kunyea humu wenye makabila yao unge juta.... believe me, that's a bullshit post don't ever post that...
 
Hahahahahahaha....duh....nashangaaa twiga kupanda ndege....umoja ni Ushindi teh teh teh kidding

Mimi mwana CCM Kindakindaki naapa kuwa nitampigia kura Edward Ngoyai Lowassa anayeiwakilisha CHADEMA kupitia mwamvuli wa Muungano wa vyama vya UKAWA. Kama kunawakati ambapo CCM inahitaji kujipanga vyema na kurekebisha mapungufu yaliyopo wakati huo ndio sasa.Kwa yeyote anayeipenda CCM kama mimi,naomba kwa Moyo Mkunjufu tuiweke CCM pembeni ili ikajikague,ikajitafakari na kisha ijipange kwa ajili ya 2020 - 2025.Gari ama mashine yeyote ile hata iwe tingatinga ikiharibika sharti iwekwe pembeni ili ifanyiwe marekebisho.Ukiilazimisha iendelee na kazi ama iendelee na safari madhara yake ni makubwa sana kwa abiria,mazingira na hata watu waliokaribu na mashine hiyo!!Kataa vitisho,kataa kununuliwa kama bidhaa,kataa uchochezi,kataa michezo michafu ya Kisiasa...Jiandae kupiga kura yako kwa Diwani,Mbunge na Rais wa UKAWA.....MUNGU ibariki TANZANIA na watu wake wote!!
 



Umekariri big time rafiki. Mabinti wote wa SDA wazuri wenye nidhamu wapo kwenye ndoa na watoto wao???? hahaaaa umejuaje mipango yake? alikuwa anafanya nini , wapi katika hali gani?
, nani kakwambia kuwa kama mtu kachelewa ndio ana sifa mbaya. Huu ukoloni wa kudhani kuwa mtu kupata mume mapema tena wa kanisani kwake ndio kigezo cha adabu sijui kitaisha lini?

Anyway hongera kwa kuwa biased.
 
Hivyo vigezo vyote sina ila nitakusaidia kutafuta usijari!
 
mengine nimejitahidi ila hiki kigezo cha ufupi/urefu ndo sina uhakika, mkuu embu eleza kidogo hapa, urefu kama wa sentimeta ngapi? wafupi tuna shida jaman
 
Donjama

yaan ninavyo vigezo vyote ila na mim ninakigezo changu na wew unafanya kazi?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…