Am looking for a serious and smart man!

Hayo masharti unatafuta mume au Rafiki kwa unajifanya mpenda dini Unajuaje Bwana uliyeandaliwa na Mungu atakuwa na elimu unayohitaji atakuwa anaishi dar atakuwa mfanyakazi masharti yako hata ya interview za kazi yamezidi omba sana Mungu akupe chaguo lako alilokupangia na siyo unalolitaka Mume mwema na mke mwema utoka kwa bwana
 
Pambafuuuu! Sifa uliyonayo ya kweli ni hiyo digrii tu hizo nyingine Huna, Muungwana hachagui kabila,
na kama umesamehewa mengi una matatizo! Maana yake we ni mkosaji mkosaji tu.
 
mama wew mwenywe huna kaz au una shughul zako?? maana ulivosistza kua awe na kaz duh!!
 
Mshahara itakua kiasi gani kwa yule atakae kuwa na hizo sifa? Maana naona ndoa nazo sasa zimekua ajira.
 
Hapa kweli kazi ipo !!!!! Subiri uchaguzi umalizike pengine unaemtaka hupo bizy kujenga taifa
 
Mm niko moro kama uko tayari ni pm. Sifa zote ninazo tatizo location
 
Donjama

Mpaka umeweka tangazo c bure kuna kasoro unayo..." Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza(chajitangaza).

Kibaya zaidi nyodo kibao asiye na kazi hutaki possibly kazi yako mwalimu..
 
Last edited by a moderator:
Kazi imekua certificate kwa mambo mengi wale tusio na kazi thubutu yetu.utaambulia maumivu na matusi
 

Asanteh Sana. Na usijali Bwana hataniacha!
 
Kazi imekua certificate kwa mambo mengi wale tusio na kazi thubutu yetu.utaambulia maumivu na matusi

Usijali...one day itakua' Yes' tu kwako! kila mtu ana vipaumbele vyake ...hope na wewe ukiambiwa utaje utasema vyako! Sio dhambi kutofautina kimawazo!

Thanks kwa comment yako
 
hahaaa watu hapa maneno yanawatooka halafu washajaza Pm ya mleta thread...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…