dume30
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 545
- 520
Habari wadau!
Natafuta part time Job kwa hapa Dar, kazi yangu nnayofanya inaishia saa sita mchana (Monday -Friday), Naomba mwenye kuweza kuniunga na kazi yoyote kuanzia mda huo anijulishe kwenye mawasiliano yangu hapo chini.
Elimu yangu ni shahada ya Elimu (Economics/Geography).
Nina ujuzi wa kutumia computer(excel,word,power point etc)
Nina ujuzi wa kufunga Madishi.
Mawasiliano : 0628 288162