Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
jamani wewe si una mke unataka mi niwe mchepuko jamani
embu acha na mimi nifurahie ndoa lol
Hapana ukisema mchepuko utajishusha hadhi, sema wewe utafanywa project tu.
jamani wewe si una mke unataka mi niwe mchepuko jamani
embu acha na mimi nifurahie ndoa lol
Karibu kwangu ila usije kuwa unaoa na kuacha
May i Pm u, plz!
Una mtoto halafu lonely, au umekimbiwa?
mbona unamkaribisha kila mtu pm. utawaweza wote kweli?
Umeshapata?
Looking for a woman. Am 39 years of age now with one kid and lonely. Story zaidi ni inbox.
Atafanya uchambuzi yakinifu, usihofu... Nendeni wote, nadhani mshindi atatangazwa!!
Hahahahahaaaa! Tangazo litakuwa ni card za mchango wa kikao kikubwa....!
Mi nipo
Hapana mkuu. Tutayaongea zaidi inbox. May i PM u, plz!
Hahahahahaaaa! Tangazo litakuwa ni card za mchango wa kikao kikubwa....!