Am in love with church girl

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
968
1,694
Kuna love story alafu kuna am in love with church girls
.

Miles Montego ni jamaa flani muuni sana mtu wa dili zote chafu kuanzia kuuza madawa ya kulevya mpaka siraha haramu.

Jamaa hajawahi kuona kama wanawake ni watu.. maisha yake yote amekua akiamini wanawake ni nidhaa ambayo unanunua unatumia unaweka kando.

Kwenye harakati za huku na huku anakuatana na Vanessa mtoto mkaliiiiiiii! alafu baba ake mchungaji.

Montego na umwamba wake wote hapo anakua amefall in love kisawa sawa mpaka anachange,, japo watapitia mengi mpaka Mwisho wa picha ila ni moja kati ya movies zenye story kali sana.

Moja kati scene mora kwangu ni ile Miles Montego (Ja rule) ameenda kusali maada ya Vanessa kupata ajari yeye Naiita Men to men talk.

Best love story of all time to me.

1: Forever my girl
2: Ex with benefit
3: Am in love with church girl
4: Love doesn't cost a thing
5ink promise

 
Upon vzr mkuu izi movies zote nimeziangalia kwakweli unajua muvi mzr kaka hata mm nazipenda hasa iyo uliyoielezea apo duuuh yule manzi sio wa nchi hii mweee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…