Am I wrong if I process divorce?

Yeah, huwezi sema unanipenda hlf unanidunda. Mengine mengi navumilia,na yeye anavumilia mengi tu.
Ndoa ni tamu sana sometimes
, sasa hivi kwangu ni Tamu mnooo

Huwa kuna high na low season

Nipo kwenye High season

Pole mwanamke mwenzetu
Japo tumesoma upande wake tu ila hiyo ndoa ni kaburi
 
20’s

Watu wengi now days wanamaliza masters in their 20’s siyo kama miaka ya 90 huko
 
Kwani dada...sayari unayoishi inaitwaje? Na hiyo mbususu bado umemuhifadhia yeye au? 8 years 🙄🙄🙄. Kweli Kuna watu wataenda peponi nimeamini
Im 51 years old na yeye yuko 55. Katika umri huu naona im too old kupata bwana. Yeye anadate na vibinti vidogo. Ni bora angeniheshimu anarudi ametapakaa lipstic kwenye vest while im starving sexually. Hii sio ndoa ni mateso
 
C.c MK254
unakumbuka comment yangu siku ile?
 
Im 51 years old na yeye yuko 55. Katika umri huu naona im too old kupata bwana. Yeye anadate na vibinti vidogo. Ni bora angeniheshimu anarudi ametapakaa lipstic kwenye vest while im starving sexually. Hii sio ndoa ni mateso
I believe umeweza vumulia miaka 8 pole sana na hongera pia stay that positive

Sometimes in life making Love isn't no important at all
 
Ila dunia ya siku hizi wanawake wavumilivu wameisha that's why na ndoa hazifungwi sana siku hizi, mke akipigwa kofi tu akaomba ushauri utasikia "achana na huyo mbwa atakuja akuue, hama ukalee wanao "
 
Im 51 years old na yeye yuko 55. Katika umri huu naona im too old kupata bwana. Yeye anadate na vibinti vidogo. Ni bora angeniheshimu anarudi ametapakaa lipstic kwenye vest while im starving sexually. Hii sio ndoa ni mateso
Kinachokufanya ustarve sexually ni nini? Unaogopa kutenda dhambi?
Yaani mimi upite mwaka sijafanywa tena bila sababu ya kueleweka...kiruuuu.
Mwezi tu nachizika
 
Ila dunia ya siku hizi wanawake wavumilivu wameisha that's why na ndoa hazifungwi sana siku hizi, mke akipigwa kofi tu akaomba ushauri utasikia "achana na huyo mbwa atakuja akuue, hama ukalee wanao "
Kofi hadi mtu analazwa siku kadhaa? Hilo kofi la dubu au la tembo?
Mtu anakula nakoz hadi anazimia (sio mara moja wala mbili), halafu kuna kima inakuja sema eti 'wake wa siku hizi sio wavumilivu akipigwa kofi tu anaomba ushauri'.
Umeona kuna comment mtu amesema kuna ndugu yake alikua anapigwa na mumewe, ila akavumilia mdada wa watu hadi akapata chongo. Ndo uvumilivu wa kiseng.e huo unaomaanisha? Eti mke akipigwa kofi tu anaomba ushauri, kofi tu ndo hilo hadi kuwekwa chongo?
Nchi hii ina usen.ge mwingi sana.
 
Wanawake kuanzia 28 kwenda mbele libido inakua inaongezeka.
At 40 ndo inakua maximum kabisa, wana crave for mgegedo na kuenjoy balaa....!!! Wanawake wengi ambao wameshafika 50+ ukiwauliza at what age did they have the best sex life, most od them watakwambia from around 38-43 yrs!
 
All was going well until you started falling in love with someone.

And that is where most of us women go wrong.

We try to show our ex partners that we are still beautiful and marketable and end up falling into the arms of the wrong men. Worse than the previous ones.

Therefore I suggest you give it much thought. Do not just leave because you have met someone else.
 
Ni kweli kabisa. Mungu anisaidie nigegedwe hadi miaka 60 kama nitakuwa hai. Sipati picha kuimiss hii kitu. Uzee nyoko sana
 
Jamani kamuombe mkeo msamaha, muanze upya, naamini atakusamehe kabisa. Mungu awatunze jamani, ndoa ni kitu chema sana.
 
siyo libido peke yake yaani the more you get older ndiyo unakuwa mtamu yaani nyie 40s ndiyo daah acha niishie hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…