Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,354
- 23,244
Mie naweza.Kuna jambo naomba nisaidie..
Natafuta kijana wa kuweza kusafisha vioo
πAcha iishe Mr Dj, mmmmh mmmh mmmh
Oyaah secretarybird nipoze moyo Dj,, nitakutunza Dj...... Mr Dj nipoze moyo Dj acha iishe Mr Dj
Ahahaha twendeni π€£Huyu AM ana ofisi zingine right?? Hongera mbamizwa kobaa,,
Wabamizwa tukamuunge mbamizwa kobaa mkono secretarybird BICHWA KOMWE mfuaji DIVISHENI FOO BRAZA CHOGO
Chanika ipi mwamba vishu mtata?πΎ AM GRAIN STORE - CHANIKA πΎ
Tunauza NAFAKA BORA jumla na reja reja kwa bei nafuu!
π Tupo: Chanika, Dar es Salaam
π¦ Tuna: Mahindi, Maharage, Mchele, Mafuta, Unga, nk.
β Bei ya jumla kwa wafanyabiashara
β Bei ya reja reja kwa matumizi ya nyumbani
β Ubora umehakikishwa
β Tunafanya na delivery ndani ya Chanika na maeneo jirani ya dar es saalam
Wasiliana nasi sasa: 0675545795
Karibuni sana π Familia ya Jamii forum ku Sapport biashara ya kijana yenu
Vishu Mtata
View attachment 3647045
Dogo una wazimu sio bureWewe ni devowoshipu
Unachanganyikiwa na nini TenaNiache mjukuu wangu, nachanganyikiwa.... niko hoves ππππ
Cc: Lamomy secretarybird Harmful
πππππ Badae nipo na wageni kidogoYou bera watch ur backk! Stay back boyer!
Ahahahahahaha naongopaDogo una wazimu sio bure
Mimi ni mchaMungu kijana,Ahahahahahaha naongopa