AM Grain Store

Naweza kubeba Hadi viroba vya Mchele.
 
Mkuu, ukiangalia tu Kwa haraka haraka unaona hiyo kazi inalipa vizuri kuliko ile ya kuwapeleka mishangazi katika upeo wa furaha?
Hapa naumwa mbavu aiseee
Ann jana nimejua kujitoa akili an nimepeleka moto huo kiasi ambacho yule kiumbe asbhi natoka anatuma sm anasema kijana umenifurahisha maara kijana utaniuwa..

Mkuu nafanya biashara huku nazingatia mashangaz pia
 
Safi sana, kwa kimimbo hiyo inaitwa economic diversification.

Sasa umekuwa kama msumeno, unakata kila upande πŸ‘
 
Tajiriiii
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…