AM Grain Store

Poor Brain

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
28,728
Reaction score
58,235
🌾 AM GRAIN STORE - CHANIKA 🌾

Tunauza NAFAKA BORA jumla na reja reja kwa bei nafuu!
πŸ“ Tupo: Chanika, Dar es Salaam
πŸ“¦ Tuna: Mahindi, Maharage, Mchele, Mafuta, Unga, nk.

βœ… Bei ya jumla kwa wafanyabiashara
βœ… Bei ya reja reja kwa matumizi ya nyumbani
βœ… Ubora umehakikishwa
βœ… Tunafanya na delivery ndani ya Chanika na maeneo jirani ya dar es saalam

Wasiliana nasi sasa: 0675545795
Karibuni sana πŸ™ Familia ya Jamii forum ku Sapport biashara ya kijana yenu

Vishu Mtata
 
well done gentleman 🀝
 
🀣🀣🀣🀣🀣,kwamba nguvu KAZI ya mishangazi!?
Wee acha tuu...... Ila support tuu ukisema nikuajiri wakati na mi hapa nina miezi bado nahangaikia ajira hapa AM GRAIN STORE yaan yaaan yaani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na sio mda tabeba madumu ya mafuta kwenda nyumba kwa nyumba dadek..

Ka unaweza tuingie mtaani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…