samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,269
toa ushauri......ningekua muslim ningeoa wote wawiliWakati unampakia hauombi ushauri, wakati wa kudrop baada ya kufunua na kufunika una feel guilty na maneno meengi ya kiingereza.
Be a man
kweli mkuu it's very sadVery sad
[emoji2]Mwache haina shida sababu kabla yako alikuwa na mahusiano mengi na anajua uchungu wa kuachwa.....maskini labda we ndo mwanaume wake wa kueleweka waliopita wote wahuni tupu [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kuna vitu huwa navishangaaga sana kwenye mahusiano mpaka nabaki nachekaga tuu kwa huzuni....aiseee!!!!Mwambie hii story uliyotueleza hapa, mwenyewe atajiongeza. Itamuuma lakini mwisho wa siku maisha yataendelea. Ila na wewe jiandae kulipa machozi atakayolia maana ulijua tangu mwanzo kuwa humpendi ila unapita tu kwake!
ndio nafsi inanisuta sana aisee Mungu anisamehe[emoji120][emoji120][emoji120]Mwambie hii story uliyotueleza hapa, mwenyewe atajiongeza. Itamuuma lakini mwisho wa siku maisha yataendelea. Ila na wewe jiandae kulipa machozi atakayolia maana ulijua tangu mwanzo kuwa humpendi ila unapita tu kwake!
Inasikitisha sana kuona kuwa hawa ndio aina ya wapenzi tunaowatambulisha kwa ndugu, jamaa na rafiki zetu. Unaubwaga moyo wako kwa mpita njiaYaani kuna vitu huwa navishangaaga sana kwenye mahusiano mpaka nabaki nachekaga tuu kwa huzuni....aiseee!!!!
toa ushauri......ningekua muslim ningeoa wote wawili
Koh! Koh! Koh! Samahani mkuu maneno yako yamenipaliaWakati unampakia hauombi ushauri, wakati wa kudrop baada ya kufunua na kufunika una feel guilty na maneno meengi ya kiingereza.
Be a man
[emoji120]Ushauri ndio nimekwambia grow up and be a man. Sasa ungewaoa wote vipi wakati unasema huyo mwanafunzi haumfeel?
Koh! Koh! Koh! Samahani mkuu maneno yako yamenipalia
Hivi unadhani kila mtu anakubali kudropiwa kirahisi? Kuna ving'ang'anizi wa kiwango cha juuKi drop kikohozi bila kujifeel guilty
Nimecheka hahahahahaWakati unampakia hauombi ushauri, wakati wa kudrop baada ya kufunua na kufunika una feel guilty na maneno meengi ya kiingereza.
Be a man