Am back from ban! nipokeeni wangwana.

karibu mkuu, nafurahi tena kukuona humu jamvini.
Kuhusu msichana wa kutoka nae kuna FF, siku hizi anajiita JF BAN-1, wasiliana na Maxence Melo akuwasilianishe nae, atakufaa huyu.
Please, accept my choice.

Mh! mbona kama unaniingiza cha kike?! huyo atanipunguzia stress au ndio ataniongezea stress!!.
 
popobawa mambo vipi? mtaenda lini temeke na yule mwenzio kuchukua mademu?

Dah! halafu jamaa siku hizi simuoni humu sijui kakumbwa na nn? vp wewe hujawahi kukutana nae huko temeke au buguruni wakati na wewe unasaka maujanja?!
 
Asalam aleykum wanajamvi,naombeni mnipokee mwanajamvi mwenzenu baada ya kutoka kwenye kifungo cha wiki moja Kilichotokana na kumpa mtu za uso!!
Pia naomba mdada mmoja hapa jamvini ajitokeze ile niwe nae usiku wa leo anisaidie kuondoa stress za ban!! hata akijitokeza yule wa _000 mi poa tu.

unamaanisha Faizafoxy yule ajuza!! si nasikia kala ban la maisha.
 
Back
Top Bottom