Am back.. Direct kutokea nyumbani Arushaaa...

heeee! kumbe umekwenda arusha bila hata ya kuniaga mbona huelewweki wewe stevoh jamani hv unajua hujatoa zaka yako ya january wewe na umeondoka huku ukijua

mama mchungaji niliaga ila nilivyofika nikapotea jamvin ila nimerudi
 
Last edited by a moderator:
Kabisa Erickb52 tatizo anajichimbia kwa mama yake huko sijui geti mwisho saa kumi na mbili
We stevoh njoo mjini bana acha kujificha huko unga lelo

kuwa mpole si unajua mama hajaniona muda mwingi kwa hiyo hamu ya kuniona haijamwisha
 
Last edited by a moderator:
nimekusamehe kabisa ila njoo parokiani tuna mfungo na maombi natunakutanika jioni kuhitimisha maombi, naomba ufunge usile hizo ndizi unazozipenda sawa mpendwa
mama mchungaji niliaga ila nilivyofika nikapotea jamvin ila nimerudi
 
kama kaja bila kubisha hodi atajiju,aendelee kwenda triple tuuu c haooo club mupyaaa!
 
KWANI KWENU HUWAGA HAMNA MAOMBI AU WEWE NI MTOTO WA JIRANI YANGU YULE MWENYE UNGA MWEUPE KICHWANI PLS NIAMBIE NISIJEKUKUALLIKA UKANITWANGA PANGA LA KICHWA BURE KAMA .................... ALIVYOTWANGA PANGA LA UTOSINI MAANA SIKU HIZI HAUTTUAMINIANI KABISA HAPA TANZANIA HASA WALE...................... SITAKI KUSEMA MIE HAPA KATIKA JOPO LA WAZEE WALIOTUKUKA HUSUSANI Bishanga
utanifanya nifukuzwe kwetuu...
 
Last edited by a moderator:

walaaa sisi wa maombi wala usinidhanie vibaya mama...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…