Am back.. Direct kutokea nyumbani Arushaaa...

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
Nilirudi wiki iliyopita tokea jijini Dar sasa natamba nikiwa hom Arusha yaani narudisha mwili kwanza maana matukio ya mwaka jana yalikua hatari zaid sina haja ya kuyaelezea.
Shukrani kwa Muumba aliye juu kwa kunipa nguvu na afya tena kuwaona wazazi wangu pamoja na ndugu, jamaa na marafiki.
Salamu zangu naanza kutuma kwa wana jamvi woooote.
Wanaongozwa na kaka zangu Erickb52 Mr Rocky, Arushaone, Madame B shemeji Donn etc etc etc.
Siwezi maliza list ni ndefu munoo hao niliwamisi sii mchezo daah namsahau mama mchungaji ladyfurahia na mwenyekiti Baba V.
 
Last edited by a moderator:
stevoh, nitakumiss sana.Wanakusalimia wana Chimbo.
 
Last edited by a moderator:
Jenga mwili
ukija bongo lazima utakwisha tu
manake pilika za hapa loh.
 
stevoh kwa burudani murua ukiwa hapa home fungua 1O1.6 Arushaone FM. Radio yako. NEXT LEVEL.
 
Last edited by a moderator:
stevoh nakutoza faini
Umeingiaje mjini hujapiga hodi kwenye machimbo
Kuna chimbo jipya limefunguliwa moshono ni balaaa.
Kuna lile la pale kisongo sun down ni balaaa
Uko salama kaka
Copy kwa Arushaone, Preta, Erickb52
Ni kweli aisee inabidi jioni atutafute tumpeleke chimbo moja hata Twiter tu inatosha Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
kumbe wafahamu kuwa mm ndiye ninayekupa chakula cha kiroho halafu uliondoka bila kuaga huku ukijua kufanya hivyo ni dhambi sana, njoo parokiani utubu hiyo dhambi yajko na kwanini ulipoondoka usitume hata sms kwa mzee wa kanisa wewe? umefanya makosa makubwa sana njoo huku parokiani haraka iwezekanavyo
 
heeee! kumbe umekwenda arusha bila hata ya kuniaga mbona huelewweki wewe stevoh jamani hv unajua hujatoa zaka yako ya january wewe na umeondoka huku ukijua
 
Last edited by a moderator:
Kabisa Erickb52 tatizo anajichimbia kwa mama yake huko sijui geti mwisho saa kumi na mbili
We stevoh njoo mjini bana acha kujificha huko unga lelo
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…