Am back again

Naona mtoa mada ndio anajifunza kuandika thread.....
Maana heading na contents ni vitu viwili tofauti....
Haya jitahidi utajua tu....
 
Kizungu kukiandika kinataka timing na kukiongea kinataka timing na uwe umekula na kushiba....
 
ujumbe wa ndani mzuri, ila kichwa cha habari sijaelewa umerudi kutoka mbingunin ndio umekuja na ujumbe huu au? huyo malkia msameheni tu, hiyo lugha imekuja na meli mpaka hapa.
 
ujumbe wa ndani mzuri, ila kichwa cha habari sijaelewa umerudi kutoka mbingunin ndio umekuja na ujumbe huu au? huyo malkia msameheni tu, hiyo lugha imekuja na meli mpaka hapa.

Ha ha ha afadhali umemuuliza kwa lugha ya kihabeshi ataelewa maana mie nimemuuliza from where hakujibu maana nimeshangaa kutoka wapi?? Ha ha ila umeua Mbinguni tena Dahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…