Am at a crossroad

Yes of course kwasababu ya ugojwa wa disease. And in fact because of you. Ndo maoni yangu
 
Thank you for your words
 
Mi naona uendelee na huyo current! Sisters mda mwingine wana gubu tu na inawezekana ikawa sista anakutaka. Endelea na current na umchunguze. Huyo X atakubwaga tena, anatafuta mapumziko tu!
 
Tunaona chenga tu hapo. Hatuelewi hizo maandishi.
 
Ai andastend him veri small...
Ooh..I know this language is not president is it very Taf.
Kuna kipindi cha nyuma shuleni tupo discussion sasa kipanga mmoja akawaanauliza swali.

Sasa ticha akawa hataki maswali mpaka watu wamalize kuwasilisha. Jamaa alipoanza kuuliza swali, madam akamwambia let him develop with presentation.
[emoji23][emoji23][emoji23]darasa zima vicheko. Maadamu alimaind kinoma
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwani we wampenda nani?
Na huyo X wako karudi kwako kwakuwa kaibiwa siyo kwakuwa anakupenda so kwake wewe ni subsitute baada ya her best option kwenda kombo.
 
Hii lugha wengine mpaka tulewe ndo tunaiwezaga.
 
Jamani
Mwaka 2009 nilikutana na binti nikampenda natukaanza mahusiano lakini baada ya mda tukaachana sababu sikumbuki. Kwenye pitapita zangu nikapata mdada mwingine ambaye nipo naye japokua dada yake akanitafuta siku moja na kuniambia mdogo wake sio mwaminifu kwangu. Baada ya kupata hivi taarifa nikasitisha mahusiano nae moja kwa moja.Baada ya kusitisha mahusiano na huyu nikakutana na mpenzi wangu wa miaka kama saba iliyopita.Kuniona mm alionekana kama anatatizo nikaomba nikumbushie akakubali kunipa. Akanieleza kwanza ndo ameachana na boyfriend na kuniambia sababu kwamba amepoteza gari aina ya IST,nakusema kwamba yupo tayari kuolewa na mm.Na huyo nilieambiwa sio mwaminifu ameanza kutuma watu kuomba msamaha.Juzi amekuja kwangu pamoja na dada yake kuniomba msamaha bila kujua km ni dada yake alieniambia meneo. Ndo nimekuja kwenu nisaidie chakufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…