Am addicted to these types of women!!!!

Hivi wanawake wa kichagga wana wowowo kweli au ndiyo umeamua kuchakachua hii hadithi ya Alfa lelaulela...........wengi wao naona ni pasi tu kama ya mzungu..................western values................

he he he Ruta, real?
 
mkuu c umesema uko addicted sasa hyo coincidence inakujaje.....??? au mm ndo sielewi....mmmh kazi ipo....hlf hv kutembea na wanawake wengi mnaonaga sifaa??
 

Bwana mdogo pole sana kwa kuwa na mawazo mgando hadi muda huu.
Yaani unakuja kujisifia kuwa unatembea na wanawake wengi na wanakulilia! POLE SANA! ni imani yangu kuwa hata bei ya kondomu hujui pakti moja ile ni sh.ngapi! Waonee huruma wazazi na ndugu zako jinsi watakavyo kulilia mara utakapo waachia majonzi kwa upumbavu wako.

huu sio wakati wa kujionyesha kidume kwa kuwa chovya chovya kwa kila kipitacho mbele yako dogo! Kwanini usioe kama unaona ile kitu ni tamu? au baada ya kupitia hizo zote ulizoonja umefaidika kwa lipi hadi sasa? TULIA DOGO, TAMAA MBAYA @Twenty 20%

Cha msingi na cha sekondari, chagua mmoja OA, tungekupa ushauri wa maana kama ungesema una wachumba wawili sasa upo njia panda hujui ufanye nini coz sifa zao zinalingana, sasa wewe unatuletea habari za kujionyesha wewe ni to.mba.to.mba? shame up on you?

au ndo gia unataka dada zetu hapa wakuone wewe unayajua sana sio? HIYO NI TABIA MBAYA NA WALA SIO SIFA!
 

Hakuna explanation nyingine zaidi ya wewe kufanya yafuatayo;
1. Acha uongo
2. Acha gia za kizamani
3. Acha upuuzi
4. Acha kuzoazoa
5. Jifunze kutambua tofauti kati ya kupenda na kutamani
6. Invest akili yako na kwenye mambo ya kimaendeleo pia
 
Wachaga....wachaga! Ur sick dude! Ume2mia jina wachaga kwa vile iko kasumba pipo wanasema hawajui kungonoka sio? Wameshtukiaa! Unajidai uko adicted nao? then why hujaoa hata mmoja? Unajua kupendana manake nini? Au tamaa tu? Ur thread expres how pathetic ur! CHANGE bhana.
 
Hivi wanawake wa kichaga wanataka mapenzi? Mi nilidhani wao ni pesa tu.
 
Wachagga wachagga! Kwa maana ingine unataka kutuambia una pesa za kutosha sio. Acha uhuni kijana, acha uhuni wewe dogo, acha uhuni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…