Am a Civil Engineer Looking for a Job

Granite

JF-Expert Member
Jul 6, 2016
268
623
Habari wanajukwaa hili, kwa mara nyengine nakuja kwenu nikitafuta Ajira katika kada ya uhandisi ujenzi. Uzoefu wangu katika kada ya uhandisi ni miaka 2. Maeneo ambayo unaweza kufanya kwa ufanisi mkubwa ni
1.Designing (Building)
2.Supervision of Site Works both (Civil Works and Building Works)
3.Preparation of Bill of Quantities (BOQ)

Computer Knowledge and Skills
1.Microsoft Office Package (Professional Level)
2.Computer Aided Drawing (AutoCAD) - medium level
3.Prota Structure - Medium Level
4.ArchiCad - Professional Level

Nipo tayari kufanya kazi mahali popote katika nchi yetu. Ahsanteni
 
ARCHICAD "professional level", protastructure "medium level".. Kwa lugha rahisi ni kwamba unaijua archicad kuliko prota... Je Wewe ni civil engineer au architect?
 
Yes I am, ArchiCad natumia zaidi hata kwa 2D design kuliko AutoCAD, softwares inategemea na bidii na juhudi ambazo umeziweka katika kujifuza na ku practice, Advantage ambayo Engineers tunayo tunaweza pia kufanya kazi baadhi za Architect, ArchiCAD inaniwezesha ku survive hata kwa kufanya kazi ndogo za kudesign residential houses za watu ambao hawawezi ku afford gharama za Architectural firms
 
Habari wanajukwaa hili, kwa mara nyengine nakuja kwenu nikitafuta Ajira katika kada ya uhandisi ujenzi. Uzoefu wangu katika kada ya uhandisi ni miaka 2. Maeneo ambayo unaweza kufanya kwa ufanisi mkubwa ni
1.Designing (Building)
2.Supervision of Site Works both (Civil Works and Building Works)
3.Preparation of Bill of Quantities (BOQ)

Computer Knowledge and Skills
1.Microsoft Office Package (Professional Level)
2.Computer Aided Drawing (AutoCAD) - medium level
3.Prota Structure - Medium Level
4.ArchiCad - Professional Level

Nipo tayari kufanya kazi mahali popote katika nchi yetu. Ahsanteni
Unaandaa BoQ wewe ni Quantity Surveyor? Au ndo hivyo hivyo mradi liende,....rate unapachika kwa kuulizia Bills zilizopita
 
Mkuu naheshimu sana taaluma za watu wote, lakini kama jambo wanalofanya QS hata sisi ujuzi tunao tena sio wa kuokota barabara ni, katika kozi ya Civil Engineering tumesoma Surveying, Quantity Surveying, Building Cost and Estimation na vipo kwenye transcript. Kuna mradi nimewahi kushiriki QS walikuwa wanataka tuwatumie hadi Quantities za Nondo, Mchanga, Kokoto na Mbao, ina maana wao kazi yao ilikuwa ni kuweka rate na kupata total, Kazi ambayo sisi tulipaswa kuwatumia michoro tu afu wao wapambane nayo, kuandaa BOQ kwa Engineer yeyote anayependa kujifunza ni jambo la kawaida sana
 
Hiyo ndio advantage ya kuwa Civil Engineer
Haswaa, kozi zetu zina cover Architecture, Surveying na Quantity Surveying mtu ukiwa makini unafanya vizuri tu, ni muhimu kufahamu kwasababu mwisho wa siku anaye implement mchoro hadi kuwa structure ni Engineer
 
Hiyo ndio advantage ya kuwa Civil Engineer
A well detailed BoQ inaandaliwa na QS,....Otherwise anyone can preapare a BoQ,.....unapoomba kazi kama hivi jaribu kua specific ili watu waweze kukusaidia Otherwise unaonekana unataka kila kitu.....nilishawahi kisimamia mradi mmoja kama Engineer for 2yrs....mpaka tulipopata Engineer,...ila sisemi kua mimi najua kazi za Engineers although zikinikuta site na zinahitaji utatuzi wangu na wahusika hawapo huwa natoa majibu
 
Mkuu naheshimu sana taaluma za watu wote, lakini kama jambo wanalofanya QS hata sisi ujuzi tunao tena sio wa kuokota barabara ni, katika kozi ya Civil Engineering tumesoma Surveying, Quantity Surveying, Building Cost and Estimation na vipo kwenye transcript. Kuna mradi nimewahi kushiriki QS walikuwa wanataka tuwatumie hadi Quantities za Nondo, Mchanga, Kokoto na Mbao, ina maana wao kazi yao ilikuwa ni kuweka rate na kupata total, Kazi ambayo sisi tulipaswa kuwatumia michoro tu afu wao wapambane nayo, kuandaa BOQ kwa Engineer yeyote anayependa kujifunza ni jambo la kawaida sana
Mie mwenyewe nimesoma sheria, uhasibu,na law ila siwezi kua lawyer, accountant ama whatever....nimeona BoQ nyingi zinazoandaliwa na Engineers...zinamis some details,...unajua ile description kny qty ina maana kubwa kny kuunda rates,....maneno kama inclusive of,...nk
 
Hufai kupewa kazi yeyote kwa sababu huheshimu mipaka ya kazi yako.

Knowledge uliyopewa juu ya architecture, na quantity surveyor, haifanyi wewe kuwa mtaalam wa maeneo hayo bali ni kuwaunganisha ili muweze kuwasiliana na kuelewana.

Mfano
Daktari wa binadamu hufundishwa namna ya kufanya
1. vipimo vya maabara,
2. kuagiza, kutunza na kugawa dawa kwa wagonjwa na kuchoma hata sindano.
3. Kuweka drip kwa wagonjwa.
4 kuzalisha

Haya majukumu kuna watu husika ( manesi na wafamasia) ambapo dunia kwa pamoja iliona wanafaa ili yaweze kutekelezwa na kupunguza dosari zilizokuwa zikijitokeza hapo awali wakati yanafanywa na mtu mmoja kama wewe unavyotudanganya.

Waliosema tuwe na
1. Fundi sanifu wa majengo
2. Wakadriaji majenzi
3. Engeener

They were not wrong.
 
A well detailed BoQ inaandaliwa na QS,....Otherwise anyone can preapare a BoQ,.....unapoomba kazi kama hivi jaribu kua specific ili watu waweze kukusaidia Otherwise unaonekana unataka kila kitu.....nilishawahi kisimamia mradi mmoja kama Engineer for 2yrs....mpaka tulipopata Engineer,...ila sisemi kua mimi najua kazi za Engineers although zikinikuta site na zinahitaji utatuzi wangu na wahusika hawapo huwa natoa majibu
Ndio maana na yeye mleta mada akasema anafanya kazi za QS.
 
Hufai kupewa kazi yeyote kwa sababu huheshimu mipaka ya kazi yako.

Knowledge uliyopewa juu ya architecture, na quantity surveyor, haifanyi wewe kuwa mtaalam wa maeneo hayo bali ni kuwaunganisha ili muweze kuwasiliana na kuelewana.

Mfano
Daktari wa binadamu hufundishwa namna ya kufanya
1. vipimo vya maabara,
2. kuagiza, kutunza na kugawa dawa kwa wagonjwa na kuchoma hata sindano.
3. Kuweka drip kwa wagonjwa.
4 kuzalisha

Haya majukumu kuna watu husika ( manesi na wafamasia) ambapo dunia kwa pamoja iliona wanafaa ili yaweze kutekelezwa na kupunguza dosari zilizokuwa zikijitokeza hapo awali wakati yanafanywa na mtu mmoja kama wewe unavyotudanganya.

Waliosema tuwe na
1. Fundi sanifu wa majengo
2. Wakadriaji majenzi
3. Engeener

They were not wrong.
Kitaalam inatakiwa iwe hivyo ila kiuhalisia kibongo bongo ni ngumu sana unless uwe kwenye kampuni za consultants tena zile kubwa ndio utakuta hiyo division of labor!! Unafika kwenye ofisi hakuna QS na wewe kama injinia umesha design na watu wanangoja gharama ili mkandarasi atafutwe mradi uanze, je utasema hujui kuandaa BOQ?
 
Mkuu! Tunaweza kuwasiliana .
Nina mpango wa kufungua Kampuni ya ujenzi daraja la chini kabisa, tunaweza kuanza wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom